TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Kwa muda niliokuwepo pale hakuongea kitu nilikuwa nasubiri kwa hamu kumsikia urojo ataohororoja

Ila jamaa ana shape la maana tako lilipita hadi kwenye ule mkoti alokuwa amevaa
Jamani makond juzi alisema atasema neno bukoba amesema neno gan?mliokuwa mnafutailia mtueleze tuelewe waja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nikajua ile ibada mwishoni Huwa kwa waliobaki kumbe ukizikwa na katekista na sio askofu tayari kuna tatizo!
 
Njia ya uzima ni Yesu kristo tu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
kama rundo la matendo mema ndio tiketi, neema haina nafasi tena.
nadhaninkwa sababu hatujui kipengele moyoni mwake kama kulikuwa na rundo la mema au giza tumuachie Yeye na Mola wake bila kumtangazia Pepo kwa misingi ya mazuri ya nje wakati hatuna bainokola ya kuona uzur/ubaya wa Ndani yake.
Hiyo ni yeye na Mola wake anayeona ndani ambako sisi hatuoni.
 
alafu @paschalmayala jaribu kutambua humu jamvini neno lako sio sheria,

iyo ishu ya karma eti msela wako tutamkuta mbinguni,mimi nawewe hatujui na hatuna hata uhakika wakuwepo kwa hiyo mbingu.
Hakuna popote nimesema humu neno langu ni kama sheria?.

Kuna ulimwengu mbili, ulimwengu wa mwili na ulimwengu wa roho.
Kwenye ulimwengu wa mwili Newton's laws za mass, distance and time zina apply.

Kwenye ulimwengu wa roho, hakuna mass, distance wala time. Huu ndio ulimwengu wa karma. Mbinguni na peponi ni hapa hapa duniani. As we speak now, there are people lives in a living hell hapa hapa duniani. Na there are people who lives in the heaven on earth.
P
 
Umeona eee ukweli mchungu kuna watu hawataki kuamini ila ndo hivyo OG ni mange

Na nandy soon ataingia mtegoni kama mange aliweza mdaka zama hadi akavujisha vile saut za R hawezi mkosa nandy kipindi hiki

Yaani wengine wanaobisha wanashangaza kukubali anavyoandika na kujijibu huku na huku.. huwa nachekaaaaaa

Kweli ndio atajaribu haswa amvute..
 
Mwili wa Ruge umehagwa na kuzikwa kisanii.

Ukweli ni kwamba Wahaya hatujamkataa Ruge ila yeye alitukataa sisi niambie kwa sifa zote anazotajwa kuwa nazo aliwekeza nini BUKOBA

Jambo la pili alijiandaaje na habari za Mungu?

Lakini pia aliwasaidiaje wasanii wa Bukoba?
Acheni unafiki uyu akichopanda ndichokavuna sikushangaa kuona anazikwa na katekista sikushangaa kukosa mahubiri na sadaka, sukushangaa kukosa wanakwaya japo uwanjani walikuwepo wachungaji Mapadri mpaka maaskofu walikuwepo lakini wote hao waling'amua kuwa hakuwa na sifa ya kuzikwa Kikiristo.

Apandacho mtu ndicho atavuna alipanda kwa wasanii akamuacha Mungu na kweli kazikwa na wasanii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alistahili kuzikwa kisela tu, alikuwa msela tu pia. Hivi Mbinguni kuna benchi la wasela!!? I like masela


Hata marehemu Tupac Shakur aliwahi kuuliza kama mbinguni kuna gheto..., huenda lipo vingenvyo masela huwa wanaendaGa wapi?
Pumzika panapokufaa Ruge.
 
Pascal huna uwezo wa kusema kwamba ruge straight yupo peponi.
Anayejua ya sirini juu ya mtu ni Mungu tu.
Hivyo Mungu anajua ruge yupo wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa muda niliokuwepo pale hakuongea kitu nilikuwa nasubiri kwa hamu kumsikia urojo ataohororoja

Ila jamaa ana shape la maana tako lilipita hadi kwenye ule mkoti alokuwa amevaa

Sent using Jamii Forums mobile app
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
that is photoshop kuna element nyingi sana za kuprove kwamba ni photo shop angalia vizuri Blbega la kulia la mwanaFA utaona alama za kukata picha,angalia uso wa mke wa FA na mkono uliomshika bega jide
Nilitaka kusema hili nikauchuna...hiyo picha ni hiyo hiyo tu inayotrend kwenye social!

Hiyo pic ina watu watatu, Kiba, mwanafa na mdada fulani jina simjui!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeongea yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…