Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu naona kama Karma, neema na matendo umevifanya kuwa kitu kimoja.Msianze...
Kinachomuingiza binaadamu mbinguni au motoni, sio misa yako ya wafu imeendeshwa na nani, au watu wamekulilia vipi, bali tunaokolewa kwa neema na sio kwa matendo.
Kwa mujibu wa the law of the karma, Ruge as of now, ameingia peponi straight kwa mengi mengi aliowatendea watu hapa duniani.
Siku ukifika mbinguni, unaweza kushangaa kuwaona hao maaskofu motoni, halafu yule Katekista ndio ukamkuta peponi.
Hata kimataifa, unaweza kumkuta Bush, Blair na Obama, upande wa chini wakiogelea kwenye lile ziwa la jehanum ya moto was milele, halafu ukashangaa kuwakuta Osama, Saadam na Ghadafi wakiwa peponi wakienjoy.
P
Brother mayalla endelea na law zako hizo...lkn kumbuka kwenda mbingun sio k2 rahs ivo...Msianze...
Kinachomuingiza binaadamu mbinguni au motoni, sio misa yako ya wafu imeendeshwa na nani, au watu wamekulilia vipi, bali tunaokolewa kwa neema na sio kwa matendo.
Kwa mujibu wa the law of the karma, Ruge as of now, ameingia peponi straight kwa mengi mengi aliowatendea watu hapa duniani.
Siku ukifika mbinguni, unaweza kushangaa kuwaona hao maaskofu motoni, halafu yule Katekista ndio ukamkuta peponi.
Hata kimataifa, unaweza kumkuta Bush, Blair na Obama, upande wa chini wakiogelea kwenye lile ziwa la jehanum ya moto was milele, halafu ukashangaa kuwakuta Osama, Saadam na Ghadafi wakiwa peponi wakienjoy.
P
Mkuu hapa umeandika kiulaini sana! Nadhani umechoka nna safari+shughuli za maziko!! Kuna watu wanafanya dhambi zinazoonekana dhahiri! Na wao wanakiri kuwa ni wadhambi! Na hawapo tayari kutubu hata kwa mtutu wa bunduki!! Sasa hao tukiwakuta peponi si itatupasa tumhoji mungu juu ya uwepo wa watu hao hapo?au tutakata rufaa kabisa!! Pepo haina dini!Msianze...
Kinachomuingiza binaadamu mbinguni au motoni, sio misa yako ya wafu imeendeshwa na nani, au watu wamekulilia vipi, bali tunaokolewa kwa neema na sio kwa matendo.
Kwa mujibu wa the law of the karma, Ruge as of now, ameingia peponi straight kwa mengi mengi aliowatendea watu hapa duniani.
Siku ukifika mbinguni, unaweza kushangaa kuwaona hao maaskofu motoni, halafu yule Katekista ndio ukamkuta peponi.
Hata kimataifa, unaweza kumkuta Bush, Blair na Obama, upande wa chini wakiogelea kwenye lile ziwa la jehanum ya moto was milele, halafu ukashangaa kuwakuta Osama, Saadam na Ghadafi wakiwa peponi wakienjoy.
P
Acha kupotosha mbona kuna tajiri mmoja hapo bukoba alifia nyumba ndogo miaka kama miwili hivi iliyopita na yeye na kanisa ni jiwe na lisu,lakini mazishi yake yaliendeshwa na askofu???!hiyo imekaaje?Hilo ndio Kanisa Moja Takatifu Katoliki la Mitume ...Kanisa alilolianzisha Yesu peke yake...
Halidanganyi wala Halidanganyiki
Tuwekee uthibitisho mkuu juu ya hili sualaHilo ndio Kanisa Moja Takatifu Katoliki la Mitume ...Kanisa alilolianzisha Yesu peke yake...
Halidanganyi wala Halidanganyiki
Kwa hiyo mtu akifa anaenda wapi! Haya mambo mazito ujue.Msianze...
Kinachomuingiza binaadamu mbinguni au motoni, sio misa yako ya wafu imeendeshwa na nani, au watu wamekulilia vipi, bali tunaokolewa kwa neema na sio kwa matendo.
Kwa mujibu wa the law of the karma, Ruge as of now, ameingia peponi straight kwa mengi mengi aliowatendea watu hapa duniani.
Siku ukifika mbinguni, unaweza kushangaa kuwaona hao maaskofu motoni, halafu yule Katekista ndio ukamkuta peponi.
Hata kimataifa, unaweza kumkuta Bush, Blair na Obama, upande wa chini wakiogelea kwenye lile ziwa la jehanum ya moto was milele, halafu ukashangaa kuwakuta Osama, Saadam na Ghadafi wakiwa peponi wakienjoy.
P
Mungu anawajua walio wakeMsianze...

Neema is The Lord's Grace, tunaokolewa kwa neema na sio kwa matendomkuu naona kama Karma, neema na matendo umevifanya kuwa kitu kimoja.
Apumzike kwa amani jamani!khaa huu msba ulikua mzito