TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Msianze...
Kinachomuingiza binaadamu mbinguni au motoni, sio misa yako ya wafu imeendeshwa na nani, au watu wamekulilia vipi, bali tunaokolewa kwa neema na sio kwa matendo.

Kwa mujibu wa the law of the karma, Ruge as of now, ameingia peponi straight kwa mengi mengi aliowatendea watu hapa duniani.

Siku ukifika mbinguni, unaweza kushangaa kuwaona hao maaskofu motoni, halafu yule Katekista ndio ukamkuta peponi.

Hata kimataifa, unaweza kumkuta Bush, Blair na Obama, upande wa chini wakiogelea kwenye lile ziwa la jehanum ya moto was milele, halafu ukashangaa kuwakuta Osama, Saadam na Ghadafi wakiwa peponi wakienjoy.
P
mkuu naona kama Karma, neema na matendo umevifanya kuwa kitu kimoja.
 
Kama Kanisa limeamua kuhodhi kazi ya Mungu na kuhukumu watu, familia haina namna. Mwisho wa siku Ruge kazikwa, mengine Mungu mwenyewe ataamua.
 
Msianze...
Kinachomuingiza binaadamu mbinguni au motoni, sio misa yako ya wafu imeendeshwa na nani, au watu wamekulilia vipi, bali tunaokolewa kwa neema na sio kwa matendo.

Kwa mujibu wa the law of the karma, Ruge as of now, ameingia peponi straight kwa mengi mengi aliowatendea watu hapa duniani.

Siku ukifika mbinguni, unaweza kushangaa kuwaona hao maaskofu motoni, halafu yule Katekista ndio ukamkuta peponi.

Hata kimataifa, unaweza kumkuta Bush, Blair na Obama, upande wa chini wakiogelea kwenye lile ziwa la jehanum ya moto was milele, halafu ukashangaa kuwakuta Osama, Saadam na Ghadafi wakiwa peponi wakienjoy.
P
Brother mayalla endelea na law zako hizo...lkn kumbuka kwenda mbingun sio k2 rahs ivo...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msianze...
Kinachomuingiza binaadamu mbinguni au motoni, sio misa yako ya wafu imeendeshwa na nani, au watu wamekulilia vipi, bali tunaokolewa kwa neema na sio kwa matendo.

Kwa mujibu wa the law of the karma, Ruge as of now, ameingia peponi straight kwa mengi mengi aliowatendea watu hapa duniani.

Siku ukifika mbinguni, unaweza kushangaa kuwaona hao maaskofu motoni, halafu yule Katekista ndio ukamkuta peponi.

Hata kimataifa, unaweza kumkuta Bush, Blair na Obama, upande wa chini wakiogelea kwenye lile ziwa la jehanum ya moto was milele, halafu ukashangaa kuwakuta Osama, Saadam na Ghadafi wakiwa peponi wakienjoy.
P
Mkuu hapa umeandika kiulaini sana! Nadhani umechoka nna safari+shughuli za maziko!! Kuna watu wanafanya dhambi zinazoonekana dhahiri! Na wao wanakiri kuwa ni wadhambi! Na hawapo tayari kutubu hata kwa mtutu wa bunduki!! Sasa hao tukiwakuta peponi si itatupasa tumhoji mungu juu ya uwepo wa watu hao hapo?au tutakata rufaa kabisa!! Pepo haina dini!
 
Hilo ndio Kanisa Moja Takatifu Katoliki la Mitume ...Kanisa alilolianzisha Yesu peke yake...

Halidanganyi wala Halidanganyiki
Acha kupotosha mbona kuna tajiri mmoja hapo bukoba alifia nyumba ndogo miaka kama miwili hivi iliyopita na yeye na kanisa ni jiwe na lisu,lakini mazishi yake yaliendeshwa na askofu???!hiyo imekaaje?
 
Msianze...
Kinachomuingiza binaadamu mbinguni au motoni, sio misa yako ya wafu imeendeshwa na nani, au watu wamekulilia vipi, bali tunaokolewa kwa neema na sio kwa matendo.

Kwa mujibu wa the law of the karma, Ruge as of now, ameingia peponi straight kwa mengi mengi aliowatendea watu hapa duniani.

Siku ukifika mbinguni, unaweza kushangaa kuwaona hao maaskofu motoni, halafu yule Katekista ndio ukamkuta peponi.

Hata kimataifa, unaweza kumkuta Bush, Blair na Obama, upande wa chini wakiogelea kwenye lile ziwa la jehanum ya moto was milele, halafu ukashangaa kuwakuta Osama, Saadam na Ghadafi wakiwa peponi wakienjoy.
P
Kwa hiyo mtu akifa anaenda wapi! Haya mambo mazito ujue.
 
Mungu anawajua walio wake

Mambo yamekua mengi na Mengi yamekua Mambo
 
Kesho asubuhi saa 12 wahi pale utamkuta baba Paroko na Sakramenti zoote akiisoma misa kuu na ubani na kumuombea atoke jehanam aingie Toharani. Mark ma words. Paroko asingelithubutu kwenda pale leo bali kuanzia kesho kila siku atasoma misa 4 pale kwenye kaburi.
Hakuna dini nzuri ka Katoliki ya mitume weye
 
Kwanza kbs natoa pole sana kwa msiba ulioipata familia ya Prof. Mutahaba kwa kuondokewa na mtoto wao Ruge Mutahaba.
Pongezi nyingi kwa namna walivyoendesha msiba huu kwa ustaarabu wa hali ya juu na kudhihirisha umuhimu wa kusoma na kuelimika. Ingekuw msiba wa aina hii umetokea mahali palipokosa busara tungeweza kuona mengi sana yakijitokeza. Mmekuwa watulivu na wenye busara katika kuubeba msiba huu na baadhi yaliyosemwa na wachache wasio na staha mliweza kuyabeba na kuyavumilia kama familia.

Maziko yamefanyika salama japokuwa hakukuwa na Ibada ya Misa kwa ajili ya marehemu lakini mmeweza kuheshimu taratibu za Kanisa Katoliki. Naamini kwa uwezo na ukaribu wako Prof. Kwa viongozi wa dini ungeweza hata kuleta wale wachungaji na mitume wa kukodi kufanya Ibada..Ila kwa dhati mmelisimamia hilo na kupata baraka za Ibada ya Mazishi. Hapa najua wasio Wakatoliki wanaweza wasijue tofauti ya Ibada za mazishi na Ibada ya Misa takatifu ( sio mada ya leo). Inatoa funzo kwetu vijana pia.

Kwa ujumla nawapa pole lakini pia tumejifunza mengi kwa maana ya utulivu, busara na hekima za familia kupitia Msiba huu.

Pumzika kwa Amani Ruge
 
alafu @paschalmayala jaribu kutambua humu jamvini neno lako sio sheria,

iyo ishu ya karma eti msela wako tutamkuta mbinguni,mimi nawewe hatujui na hatuna hata uhakika wakuwepo kwa hiyo mbingu.
 
mkuu naona kama Karma, neema na matendo umevifanya kuwa kitu kimoja.
Neema is The Lord's Grace, tunaokolewa kwa neema na sio kwa matendo

Karma ni hukumu ya haki kwa mawazo yako, maneno yako na matendo yako.
Kuokolewa kwa neema maana yake Mungu anatuona hadi ndani ya mioyo yetu na dhamira zetu. Hivyo kuna watu wanafanya mema ili tuu watu waone, lakini moioyoni mwao ni mashetani wakubwa. Hawa hata wafanye wema mkubwa kiasi gani, haijalishi.

Kuna watu with nothing, kama mimi nilivyo, ni masikini wa kutupa and yet I'm a rugged trousers philanthropist, Mungu anaona moyo wangu wa kusaidia. Hivi ndivyo alivyokuwa Ruge,
Ni peponi straight, by now tayari yuko mkono wa kuume wa Mungu Baba Mwenyezi, Muumba wa vitu vyote vinavyoonekana na visivyo onekana.
P
 
Back
Top Bottom