Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Thubutu...watanzania tuna PhD ya unafiki[emoji23][emoji23][emoji23]yule Israel akimpenda zaidi atazikwa na uvccm tu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thubutu...watanzania tuna PhD ya unafiki[emoji23][emoji23][emoji23]yule Israel akimpenda zaidi atazikwa na uvccm tu..
Mchumba waapiii,mange anadanganya wengi sana. Kalikua kahawara tu naona kanajichoresha sana msibani,nahisi anakera hata wafiwa
Tuanzie hapa hata kuandika hujui pamoja na kuwa mtu mwenye cheo huko clouds.mbona haujiamini
una post mara mbili mbili
clouds ni redio binafsi na wanayoyafanya ni YAO. Kwa akili hii wewe maskini wa ngudu ukifa hata mmbwa wako watashangilia na nyumba ya tatu hawatajua kuwa umekufa! una roho mbaya
acha wivu..wewe ndio ulikuwa haumjui Ruge!
kwa mwaka wa 10 sasa clouds inangoza kusikilizwa nchi nzima KULIKO REDIO YEYOTE ILE, vipindi vyake vikali na watangazaji wazoefu..unaachaje kumjua ruge? au hauna redio nyumbani?
acha wivu potezea bana, HII NI WAO, NA YAO, na issues ZAO
Umeona eee ukweli mchungu kuna watu hawataki kuamini ila ndo hivyo OG ni mange
Na nandy soon ataingia mtegoni kama mange aliweza mdaka zama hadi akavujisha vile saut za R hawezi mkosa nandy kipindi hiki
Mmmh kwann unahisi katemwaOG mbona ni Mange kabisa,hilo halina ubishi japokuwa anajitahidi kufool watu. Ila faida gani sasa,huku anamnanga zama kule main anamtetea. Halafu Mange inaonyesha kishatemwa na yule mzungu. Ila natamani mange arudi kwenye siasa walau alikuwa anaishake serikali.
Wewe ni mpuuzi, mbona hujasema harakati za Lissu zilivyogusa maelfu ya watanzania?, Hujui kuwa Lissu ni mwanasheria wa madini na ndiye alie tetea wananchi wasiondolewe ovyo ili kumpisha mwekezaji Barrick gold mine kule Bulyanhulu na Geita Gold mine?
Kama hujui hayo na huna taarifa za kutosha kuhusu Lissu kwa nini unaanzisha mada ya kumlinganisha mtu ambae humfahamu?
Pumbavu wewe!
Hahahaaaa! Mkuu nadhani hiyo mida nitoka kupiga pombe nyingi sana, tatizo nilikuwa nachanganya K Vant na beer, so i was a little bit sarcastic lakini hata hivyo, mada ilikuwa ni kati ya Lissu na marehemu ni nani kaigusa sana jamii, ndiyo ilikuwa topic, najaribu kuitafuta taratibu maana topic karibu zote za Ruge zimeunganishwa,Mkuu please usiku ulikula kweli?
I mean ulipata dinner vizuri? Kwasababu nilikiona hapa ulichoandika ni either njaa na kama huna njaa usijali Mungu yupo ile kodi unayodiwa utailipa tu
Mimi sijamlingalisha marehemu bosi na mtu yeyote wewe umeitoa wap
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]khaaa jamani
Humwoni no picha mpya tena,inshort no mashauzi. Kama unamfahamu Mange utajua tu kuwa kishatemwa.
Huko ni kujipa sympathy tuu...Hata angezikwa na papa au na mwalimu wa madrasa kwake haina faida yoyote.
Hayo mengine ni mambo ya kidunia tu hayana lolote kwa marehemu
Full Stop and Long BreakHuwa inatokea kama alikuwa hashiriki ktk jumuia ya anakoishi hiyo kwanza wamempendelea....huwa mtu wa aina yake hafanyiwi ibada
Sent using Jamii Forums mobile app