Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
Mimi sina chama,Magufuli akipatia namsifu akikosea namponda. Mimi chama changu ni Tanzania.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi sina chama,Magufuli akipatia namsifu akikosea namponda. Mimi chama changu ni Tanzania.
Wao wanaumia sana lazima, zile bata walizokuwa wamezoea watoto ni balaaWaume zao sawa ila kwamba wao wamefurahi sidhani, ukizingatia marehenu alikuwa anatoa matunzo ya watoto
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kujiunga wasafi huku akijua ni mahasim wa mzazi mwenzieHivi Zama zile clip za Ruge alizorusha hajui kua ni chanzo cha ugonjwa wa Ruge?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Na yeye alikuwa mtoto mkubwa wa marehemuHivi mbona kila kona tangu dar hadi bukoba hadi kabale anapozikwa Ruge sasa naona nandy amekaa karibu na watoto wa marehemu Ruge. Vp nandy nae alikua bi mdogo au????
Hajawahi kukumbwa na funza yule iko siku yakeNgoja nije kwanza, nimetumwa kununu viatu vya Mrisho Mpoto.
100%Jamani eeee Ruge amemaliza mwendo tujiandae na sisi na sio kupiga tuu porojo. Mwenzetu kashazikwa amepumzika milele. Nadhani tuendelee na majukumu mengine. Case closed.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]figo ziko sauzi ukoLabda na figo pia kaachiwa
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]haaah!!!! WqnazengoEeeh unataka ampe mihangaiko?
[emoji848][emoji848][emoji848]labda akienda huko kuzimu ampe taarifa nini kinaendelea kama vipi na yeye aendebashite sijui kwanini ulimpa simu kijana wa watu alikufanyia nini?
Tatizo la wabongo angeunyuti alaf wanajua kama katambulishwa kwao ingekuwa maneno m3ngine hapo analia sana bado maneno wanazengo tunaongeaga sisiYani angetakiwa au unyuti mana kawa mbele ka kaolewa halali. Mi ndo naona hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Ananeno gani lakuongea yule nae nafsi inamsuta tu na lisuti lake kama anord shozinigaJamani makond juzi alisema atasema neno bukoba amesema neno gan?mliokuwa mnafutailia mtueleze tuelewe waja
Nasikia kapewa nafasi ya kuweka taji, mtu ambae hatambuliki angepewa hiyo nafasi?Tatizo la wabongo angeunyuti alaf wanajua kama katambulishwa kwao ingekuwa maneno m3ngine hapo analia sana bado maneno wanazengo tunaongeaga sisi
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂yule Israel akimpenda zaidi atazikwa na uvccm tu..Ananeno gani lakuongea yule nae nafsi inamsuta tu na lisuti lake kama anord shoziniga
Sent using Jamii Forums mobile app
Alitambuliwa kwa jina gani kwenye luweka shada???Nasikia kapewa nafasi ya kuweka taji, mtu ambae hatambuliki angepewa hiyo nafasi?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji38][emoji38][emoji38]alaf watu wadizaini hawafi leo wala kesho mnawaacha duniani[emoji23][emoji23][emoji23]yule Israel akimpenda zaidi atazikwa na uvccm tu..