Kingine, kujifanya amepumzika mwezi insta!...while kule kwenye fekero la OE full stress na vichambo!Humwoni no picha mpya tena,inshort no mashauzi. Kama unamfahamu Mange utajua tu kuwa kishatemwa.
Umeandika Uhalo gani huu?Pole nyingi kwa wafiwa na RIP Ruge..
Ni kweli kabisa Mkuu mleta bandiko..
Familia hii ni wastahimilivu sana.
Yani kwenye msiba mnakaa na MUUWAJI wa kijana wenu bila kumbughudhi kwa namna yoyote ile, Ustaarabu mkubwa sana huu..
Ila jamaa tako ana roho yake mwenyewe aisee..kutokuwa na chembe ya aibu mahala kama pale lazima atakuwa alishafanyiwa surgery na mshipa wa aibu uliondolewa Mwilini kwake siku nyingi.
haaahaaa....Yule mdomo ndo unamponza, much know nyingi sana!Na hashtag keshatoa zamaani. Kamejikondesha sana mzungu kakosa hata pa kupapasa
Mganga wake kibokoSi bora funza, pale karimjee kumejaa michupa imepasuka pasuka but yy alivyokuwa anakata mbuga mule, nenda geuza cha maana hamna daah[emoji134][emoji134]
Sent using Jamii Forums mobile app
Public administration and political science. Alikuwa pamoja na Rweikaza Mukangala.hv huyu Prof. Mutahaba ni msomi wa fani gani?
Yule bora arudi kwenye siasa. Ila Mange yule acha tu. Ila ni mtu pekee ambae nimeweza kusoma magazeti yake mwanzo mwisho. Magazeti ya zama siwezagi kusoma kabisa.Kingine, kujifanya amepumzika mwezi insta!...while kule kwenye fekero la OE full stress na vichambo!
Eti leo kajiwish HBD kwenye original east, vichambo kama vyote!
Sent using Jamii Forums mobile app
Rwekaza Mukandala, alafu huyu sikujua kama ni profesa hata list yangu ya Maprofesa sikumuweka😀😀Public administration and political science. Alikuwa pamoja na Rweikaza Mukangala.
Labda kweli alinunuliwa then akanyanganywa. Yule mzungu mwingine wa Solex nae aliishia wapi sijui. Mzungu gani ataishi na mwanamke hana kazi ?Yule mzungu mapikipiki kaishakula kona kali, kitambo sana ndo maana stress zimerudi upyaa!
Sipatagi picha alilotuchezea kuhusi ile gari alikodisha akajifanya mzungu kamnunulia daah[emoji849][emoji849][emoji849][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Iyo neema inatoka wapi?!! Soma Yohana 20:21-23. Uache kujilisha upepo.Msianze...
Kinachomuingiza binaadamu mbinguni au motoni, sio misa yako ya wafu imeendeshwa na nani, au watu wamekulilia vipi, bali tunaokolewa kwa neema na sio kwa matendo.
Kwa mujibu wa the law of the karma, Ruge as of now, ameingia peponi straight kwa mengi mengi aliowatendea watu hapa duniani.
Siku ukifika mbinguni, unaweza kushangaa kuwaona hao maaskofu motoni, halafu yule Katekista ndio ukamkuta peponi.
Hata kimataifa, unaweza kumkuta Bush, Blair na Obama, upande wa chini wakiogelea kwenye lile ziwa la jehanum ya moto was milele, halafu ukashangaa kuwakuta Osama, Saadam na Ghadafi wakiwa peponi wakienjoy.
P
Anafuata hela tu,in short ni opportunist.Alipoachwa na mumewe alisema wazungu wana mshedede wa baridi kumbe ni sitaki mbici hizi kakaopoa muzungu mwingine casino kakajiona kamewini full kudhihaki wenzie eti mansion la dola million
Anafuata hela tu,in short ni opportunist.
asante mkuu, vp yeye alistaafu lini mkuu?Public administration and political science. Alikuwa pamoja na Rweikaza Mukangala.
You vividly seem to be one of those believers who have already been indoctrinated with and incapacitated by catholic teachings to the extent that you cannot distinguish between unquestionable religious teachings and negatable ones. You better unchain yourself from that slavery inasmuch as none of both christian and muslim denominations is perfect.Hilo ndio Kanisa Moja Takatifu Katoliki la Mitume ...Kanisa alilolianzisha Yesu peke yake...
Halidanganyi wala Halidanganyiki
Ina maana ushiriki wao ulikuwa sio mzuri?Kwanza kbs natoa pole sana kwa msiba ulioipata familia ya Prof. Mutahaba kwa kuondokewa na mtoto wao Ruge Mutahaba.
Pongezi nyingi kwa namna walivyoendesha msiba huu kwa ustaarabu wa hali ya juu na kudhihirisha umuhimu wa kusoma na kuelimika. Ingekuw msiba wa aina hii umetokea mahali palipokosa busara tungeweza kuona mengi sana yakijitokeza. Mmekuwa watulivu na wenye busara katika kuubeba msiba huu na baadhi yaliyosemwa na wachache wasio na staha mliweza kuyabeba na kuyavumilia kama familia.
Maziko yamefanyika salama japokuwa hakukuwa na Ibada ya Misa kwa ajili ya marehemu lakini mmeweza kuheshimu taratibu za Kanisa Katoliki. Naamini kwa uwezo na ukaribu wako Prof. Kwa viongozi wa dini ungeweza hata kuleta wale wachungaji na mitume wa kukodi kufanya Ibada..Ila kwa dhati mmelisimamia hilo na kupata baraka za Ibada ya Mazishi. Hapa najua wasio Wakatoliki wanaweza wasijue tofauti ya Ibada za mazishi na Ibada ya Misa takatifu ( sio mada ya leo). Inatoa funzo kwetu vijana pia.
Kwa ujumla nawapa pole lakini pia tumejifunza mengi kwa maana ya utulivu, busara na hekima za familia kupitia Msiba huu.
Pumzika kwa Amani Ruge