TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Pole nyingi kwa wafiwa na RIP Ruge..

Ni kweli kabisa Mkuu mleta bandiko..

Familia hii ni wastahimilivu sana.

Yani kwenye msiba mnakaa na MUUWAJI wa kijana wenu bila kumbughudhi kwa namna yoyote ile, Ustaarabu mkubwa sana huu..

Ila jamaa tako ana roho yake mwenyewe aisee..kutokuwa na chembe ya aibu mahala kama pale lazima atakuwa alishafanyiwa surgery na mshipa wa aibu uliondolewa Mwilini kwake siku nyingi.
Umeandika Uhalo gani huu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CHAPTER II.
THOSE TO WHOM ECCLESIASTICAL FUNERALS MUST BE GRANTED OR DENIED
Can. 1183 §1. When it concerns funerals, catechumens must be counted among the Christian faithful.
§2. The local ordinary can permit children whom the parents intended to baptize but who died before baptism to be given ecclesiastical funerals.
§3. In the prudent judgment of the local ordinary, ecclesiastical funerals can be granted to baptized persons who are enrolled in a non-Catholic Church or ecclesial community unless their intention is evidently to the contrary and provided that their own minister is not available.
Can. 1184 §1. Unless they gave some signs of repentance before death, the following must be deprived of ecclesiastical funerals:
1/ notorious apostates, heretics, and schismatics;
2/ those who chose the cremation of their bodies for reasons contrary to Christian faith;
3/ other manifest sinners who cannot be granted ecclesiastical funerals without public scandal of the faithful.
§2. If any doubt occurs, the local ordinary is to be consulted, and his judgment must be followed.
Can. 1185 Any funeral Mass must also be denied a person who is excluded from ecclesiastical funerals.
 
Kingine, kujifanya amepumzika mwezi insta!...while kule kwenye fekero la OE full stress na vichambo!

Eti leo kajiwish HBD kwenye original east, vichambo kama vyote!

Sent using Jamii Forums mobile app
Yule bora arudi kwenye siasa. Ila Mange yule acha tu. Ila ni mtu pekee ambae nimeweza kusoma magazeti yake mwanzo mwisho. Magazeti ya zama siwezagi kusoma kabisa.
 
Yule mzungu mapikipiki kaishakula kona kali, kitambo sana ndo maana stress zimerudi upyaa!

Sipatagi picha alilotuchezea kuhusi ile gari alikodisha akajifanya mzungu kamnunulia daah[emoji849][emoji849][emoji849][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
Labda kweli alinunuliwa then akanyanganywa. Yule mzungu mwingine wa Solex nae aliishia wapi sijui. Mzungu gani ataishi na mwanamke hana kazi ?
 
Msianze...
Kinachomuingiza binaadamu mbinguni au motoni, sio misa yako ya wafu imeendeshwa na nani, au watu wamekulilia vipi, bali tunaokolewa kwa neema na sio kwa matendo.

Kwa mujibu wa the law of the karma, Ruge as of now, ameingia peponi straight kwa mengi mengi aliowatendea watu hapa duniani.

Siku ukifika mbinguni, unaweza kushangaa kuwaona hao maaskofu motoni, halafu yule Katekista ndio ukamkuta peponi.

Hata kimataifa, unaweza kumkuta Bush, Blair na Obama, upande wa chini wakiogelea kwenye lile ziwa la jehanum ya moto was milele, halafu ukashangaa kuwakuta Osama, Saadam na Ghadafi wakiwa peponi wakienjoy.
P
Iyo neema inatoka wapi?!! Soma Yohana 20:21-23. Uache kujilisha upepo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo ndio Kanisa Moja Takatifu Katoliki la Mitume ...Kanisa alilolianzisha Yesu peke yake...

Halidanganyi wala Halidanganyiki
You vividly seem to be one of those believers who have already been indoctrinated with and incapacitated by catholic teachings to the extent that you cannot distinguish between unquestionable religious teachings and negatable ones. You better unchain yourself from that slavery inasmuch as none of both christian and muslim denominations is perfect.
 
Kwanza kbs natoa pole sana kwa msiba ulioipata familia ya Prof. Mutahaba kwa kuondokewa na mtoto wao Ruge Mutahaba.
Pongezi nyingi kwa namna walivyoendesha msiba huu kwa ustaarabu wa hali ya juu na kudhihirisha umuhimu wa kusoma na kuelimika. Ingekuw msiba wa aina hii umetokea mahali palipokosa busara tungeweza kuona mengi sana yakijitokeza. Mmekuwa watulivu na wenye busara katika kuubeba msiba huu na baadhi yaliyosemwa na wachache wasio na staha mliweza kuyabeba na kuyavumilia kama familia.

Maziko yamefanyika salama japokuwa hakukuwa na Ibada ya Misa kwa ajili ya marehemu lakini mmeweza kuheshimu taratibu za Kanisa Katoliki. Naamini kwa uwezo na ukaribu wako Prof. Kwa viongozi wa dini ungeweza hata kuleta wale wachungaji na mitume wa kukodi kufanya Ibada..Ila kwa dhati mmelisimamia hilo na kupata baraka za Ibada ya Mazishi. Hapa najua wasio Wakatoliki wanaweza wasijue tofauti ya Ibada za mazishi na Ibada ya Misa takatifu ( sio mada ya leo). Inatoa funzo kwetu vijana pia.

Kwa ujumla nawapa pole lakini pia tumejifunza mengi kwa maana ya utulivu, busara na hekima za familia kupitia Msiba huu.

Pumzika kwa Amani Ruge
Ina maana ushiriki wao ulikuwa sio mzuri?
kwa maana ya mtoto ama wazazi ama wote?
 
Back
Top Bottom