TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

kumbagua binadam ni makosa makubwa kwann asiachiwe mungu akabague mwenyew?
mm sio muumini wa dini yyte nipo kwenye kundi husika kwa sababu za kimapokeo sio imani
 


πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‹Mengeleni ww ni kivuruge balaa..frankly speaking huu msiba DAB N zama hawakutakiwa kbs kuwepo...maana naskia Ruge alipoenda India shost alishusha bandiko insta reeefu kama la mradi wa uzalishaji mbu😏😏..!dongo kwa Ruge..anywsu tumeondoka na somo
 
Pascal do you believe heaven is right here on earth?
 

Mkuu kanisa katoliki haliangalii cheo au umaarufu ai hadhi ya mtu. Sisi tunafata the 'CANNON LAW' so ruge by any means angezikwa kwa ibada ya misa takatifu lazima hao maaskofu wangekua na cha kujibu kwa kardinali coz ni kinyume na sheria kwa mtu ambae haajaoa lkn amezaa watoto tena na wanawake wengi.

Afu kibaya umesema khs Kilaini na ungejua kilaini kasomea CANNON LAW hata usinge muandika huyo coz hata kama wangelazimisha azikwe na padri basi kilaini kwa ujuzi wake wa kiundani katika cannon law asingeruhusu hio kitu.

Kanisa Katoliki linaongozwa na Roho Mtakatifu na sio hisia za watu. Unaweza kukuta hata hao maaskofu unaosema walitamani sana Ruge azikwe kwa misa ya padre lkn hawana jinsi coz sheria inawabana saaanaa na inabidi waheshimu sheria na sio emotions
 
bashite siku akifa kabla yangu ntakunywa serengeti lite zote za ambiance nikitoka apo nachukua malaya kwa ajili 3some moja kali sana afu kwenye msiba wake naenda na maua kama yeye alivoenda kwa ruge leo

Sent using Jamii Forums mobile app


πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚....!mie nitakunywa dompo chupa 4..na msiban nakuja..!yaan nakuwa handazi kinoma...nimevaa sare za chadema
 
Ngoja nipokee hizo pole na pongezi kwa niaba ya familia nasema AHSANTE....Mambo ni mengi muda ni mchache
 
Aiseee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapi Yesu alialinzisha Kanisa Katoliki?
Mathayo 16:18
Nami nakuambia , Wewe ndiwe Petro na Juu ya Mwamba huu nitalijenga Kanisa Langu; na wala milango ya kuzimu haitalishinda
acha kupotosha watu,
Kusema nimepotosha bila kuonesha ni wapi nimepotosha nakuweka kwenye kundi la washenzi kama siyo wajinga
soma Biblia
kwa msaada wa Roho wa Mungu.
Halafu nikishasoma, ndio itaondoa huo ukweli niliokupa...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…