TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

kumbagua binadam ni makosa makubwa kwann asiachiwe mungu akabague mwenyew?
mm sio muumini wa dini yyte nipo kwenye kundi husika kwa sababu za kimapokeo sio imani
 
Pole nyingi kwa wafiwa na RIP Ruge..

Ni kweli kabisa Mkuu mleta bandiko..

Familia hii ni wastahimilivu sana.

Yani kwenye msiba mnakaa na MUUWAJI wa kijana wenu bila kumbughudhi kwa namna yoyote ile, Ustaarabu mkubwa sana huu..

Ila jamaa tako ana roho yake mwenyewe aisee..kutokuwa na chembe ya aibu mahala kama pale lazima atakuwa alishafanyiwa surgery na mshipa wa aibu uliondolewa Mwilini kwake siku nyingi.


😂😂😂😏😂😋Mengeleni ww ni kivuruge balaa..frankly speaking huu msiba DAB N zama hawakutakiwa kbs kuwepo...maana naskia Ruge alipoenda India shost alishusha bandiko insta reeefu kama la mradi wa uzalishaji mbu😏😏..!dongo kwa Ruge..anywsu tumeondoka na somo
 
Hakuna popote nimesema humu neno langu ni kama sheria?.

Kuna ulimwengu mbili, ulimwengu wa mwili na ulimwengu wa roho.
Kwenye ulimwengu wa mwili Newton's laws za mass, distance and time zina apply.

Kwenye ulimwengu wa roho, hakuna mass, distance wala time. Huu ndio ulimwengu wa karma. Mbinguni na peponi ni hapa hapa duniani. As we speak now, there are people lives in a living hell hapa hapa duniani. Na there are people who lives in the heaven on earth.
P
Pascal do you believe heaven is right here on earth?
 
Kwa heshima zote za kiserikali na kibinadamu na mapokezi aliyopata Marehemu Ruge, Je, alisitahili kuzikwa kwa ibada kuendeshwa na KATEKISTA?

Ukitilia maanani ukaribu wa familia ya marehemu na Askofu M. Kilaini

Ujirani uliopo kijijini kati ya Askofu na Prof. Mutahaba

Mazingira ya mwamko wa kidini ya RC uliopo hapo kijijini

Ujirani na Parokia yake ya Itahwa

Ushiriki wa viongozi hao wa dini katika kuaga mwili wa Marehemu hapo Bukoba Club/Gymkhana

Mwisho wa Mwisho ibada ya mazishi ikaishia kuendeshwa na KATEKISTA ikishuhudiwa viongozi hao wa kanisa kushindwa kushiriki ibada hiyo.

Kwanza Sio utamaduni wa eneo hilo kwa mtu kama wa aina ya Mutahaba.

Mwisho wa RUGE imekuwa simanzi kubwa kwani mbwembwe za mitaani zimezimwa na KANISA lake.

The very last RESPECT imeua yote.

Mkuu kanisa katoliki haliangalii cheo au umaarufu ai hadhi ya mtu. Sisi tunafata the 'CANNON LAW' so ruge by any means angezikwa kwa ibada ya misa takatifu lazima hao maaskofu wangekua na cha kujibu kwa kardinali coz ni kinyume na sheria kwa mtu ambae haajaoa lkn amezaa watoto tena na wanawake wengi.

Afu kibaya umesema khs Kilaini na ungejua kilaini kasomea CANNON LAW hata usinge muandika huyo coz hata kama wangelazimisha azikwe na padri basi kilaini kwa ujuzi wake wa kiundani katika cannon law asingeruhusu hio kitu.

Kanisa Katoliki linaongozwa na Roho Mtakatifu na sio hisia za watu. Unaweza kukuta hata hao maaskofu unaosema walitamani sana Ruge azikwe kwa misa ya padre lkn hawana jinsi coz sheria inawabana saaanaa na inabidi waheshimu sheria na sio emotions
 
bashite siku akifa kabla yangu ntakunywa serengeti lite zote za ambiance nikitoka apo nachukua malaya kwa ajili 3some moja kali sana afu kwenye msiba wake naenda na maua kama yeye alivoenda kwa ruge leo

Sent using Jamii Forums mobile app


😂😂😂😂....!mie nitakunywa dompo chupa 4..na msiban nakuja..!yaan nakuwa handazi kinoma...nimevaa sare za chadema
 
Ngoja nipokee hizo pole na pongezi kwa niaba ya familia nasema AHSANTE....Mambo ni mengi muda ni mchache
 
Pole nyingi kwa wafiwa na RIP Ruge..

Ni kweli kabisa Mkuu mleta bandiko..

Familia hii ni wastahimilivu sana.

Yani kwenye msiba mnakaa na MUUWAJI wa kijana wenu bila kumbughudhi kwa namna yoyote ile, Ustaarabu mkubwa sana huu..

Ila jamaa tako ana roho yake mwenyewe aisee..kutokuwa na chembe ya aibu mahala kama pale lazima atakuwa alishafanyiwa surgery na mshipa wa aibu uliondolewa Mwilini kwake siku nyingi.
Aiseee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapi Yesu alialinzisha Kanisa Katoliki?
Mathayo 16:18
Nami nakuambia , Wewe ndiwe Petro na Juu ya Mwamba huu nitalijenga Kanisa Langu; na wala milango ya kuzimu haitalishinda
acha kupotosha watu,
Kusema nimepotosha bila kuonesha ni wapi nimepotosha nakuweka kwenye kundi la washenzi kama siyo wajinga
soma Biblia
kwa msaada wa Roho wa Mungu.
Halafu nikishasoma, ndio itaondoa huo ukweli niliokupa...?
 
Back
Top Bottom