TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

U nashindwa kuelewa simple Logic, Yesu hakuwa Christian Ila alieanzisha Ukristo!
 
Sahihi kabisa!
 
Mkuu acha uongo Yesu Kafa akiwa Dhehebu la Kiyahudi kama Desturi ya Waisrael... Lete Ushahidi Kanisa lilianzishwa na Yesu.....
Wewe nakuhifadhi kwa leo....NAenda kupumzika...Ila kama jambo hulijui, kulikoni kukurupuka ni bora ukauliza kwa wajuvi tukujuze
 
Mama!! Kumbe na wewe una kiwanda cha majeneza!!!! Maana sio kwa hiyo "vifo vya hovyohovyo wafululize...mxiewwww..!"

Unanitisha bhana....punguza mwendo kidogo basi. Ahahaha....
Saa zingine Mungu angekuwa anaanza na hukumu zake hapa hapa duniani..!Aanze na safu ya juu kbs ya uongozi..awavimbishe balaa wafe vifo vya hovyohovyo wafululize..mxiewwww..!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yule bora arudi kwenye siasa. Ila Mange yule acha tu. Ila ni mtu pekee ambae nimeweza kusoma magazeti yake mwanzo mwisho. Magazeti ya zama siwezagi kusoma kabisa.
Mange si shule inamuokoa!....kwahiyo migazeti yake haiboi

Yule Zama aaagh shule ndogo, so naonaga hata magazeti yake ni meaningless!



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lini CCM ilivamia Clouds? Hiki chama ni kibovu ila kuna muda mnakipa hata mizigo ambayo siyo yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…