TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Hiki ni kipindi cha maombolezo hayo mambo mengine tungeyaacha kwanza (ushauri)
 
R.I.P Ruge, we are on the way.
 
Hv ni kweli?? 70 kabisa? Wengi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaaah....kweli jamaa amekufa..mi napenda kuuliza hivi huyu jamaa ni kabila gani?
 
Na usiombe kidney failure ikaambatana na presha.....ni hatari sana😳😵
Kidney sitaki kukumbuka nilipoteza binamu yangu kwa figo hapana jamani ni kama maisha yamesimama nilikuwa namuonea huruma tabu anayopata ni hatari jamani. sisi tuombe Mungu atulinde na kila aina ya maradhi.
 
INI sio tishio.. Ni organ pekee inayoweza kuregenerate 100%.. Ni kuwa tuu hospital za afrika ni bulshit n INI linaweza Fanya kazi hats liwe ok 5%

Sent using Jamii Forums mobile app

5% ya ini kufanya kazi napingana na wewe mkuu maana litakuwa overloaded, na hiyo ku regenerate kwa liver atleast liwe 3/4, tofouti na hapo maisha yako yatakuwa magumu sana...

Na katika surgery ya kuondoa portion of liver (Hepatectomy) inahitaji uangalifu wa hali ya juu ili kuweza kulinda cell muhimu (hepatocytes) kwa ajili ya kinga ya ini..

Sasa sijajua hiyo 5% ya ini unayoongelea ni ipi hasa?
 
Kidney sitaki kukumbuka nilipoteza binamu yangu kwa figo hapana jamani ni kama maisha yamesimama nilikuwa namuonea huruma tabu anayopata ni hatari jamani. sisi tuombe Mungu atulinde na kila aina ya maradhi.
amin..
 
With Kidney failure, sitashtuka sana! Siombi hayo lakini ule ugonjwa si mzuri katu. All metabolic wastes have no exit outside the body!
Mbona huu ugonjwa unatisha kuliko hata ukimwi?
1:Ungonjwa huu unasababishwa na nini?
2:Je inachukua muda gani kuugundua?
3: ni dalili zipi za awali mgonjwa anakuwa nazo?

Rip ruge.😢
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…