Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rip ruge.msiba utakua wapi? Kwa wazazi wake au kwake? Maana naskia hakuwahi kuoa?
Hv ni kweli?? 70 kabisa? Wengi sanaWatanzania Bwana
Tuombee Marehemu wote Walazwe mahari pema peponi
Pale Muhimbili Kila siku zaidi ya watu 70 wanafariki kwa siku ila hamnaga RIP
Itambulike Nitaguswa na Msiba Na mtu aliehusika kwenye Maisha yangu kwa namna moja au nyingine
Ambaye hakuhisika Akuuuu
Kidney sitaki kukumbuka nilipoteza binamu yangu kwa figo hapana jamani ni kama maisha yamesimama nilikuwa namuonea huruma tabu anayopata ni hatari jamani. sisi tuombe Mungu atulinde na kila aina ya maradhi.Na usiombe kidney failure ikaambatana na presha.....ni hatari sana😳😵
Acha uchoyo tumuenzi jamaa kwa vitendoNimetumiwa clip yake alipotoa neno UDom sijui mwaka gani. Nimeshindwa ku download. Kama unaipenda nenda PM nitumie namba nikupe utapata hazina ya milele.
Nakusikia ndugu yangu.Kaondolewa akiwa mdogo sana tena kaondolewa kwa mateso... Uzuri alijua anakufa....
Wengine hawajui watakufaje
Sent using Jamii Forums mobile app
INI sio tishio.. Ni organ pekee inayoweza kuregenerate 100%.. Ni kuwa tuu hospital za afrika ni bulshit n INI linaweza Fanya kazi hats liwe ok 5%
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaniuma mno aiseYaani huyu baba kaniuma jamani kha [emoji24][emoji24]
Inauma sana, eti figo......Kaondolewa akiwa mdogo sana tena kaondolewa kwa mateso... Uzuri alijua anakufa....
Wengine hawajui watakufaje
Sent using Jamii Forums mobile app
amin..Kidney sitaki kukumbuka nilipoteza binamu yangu kwa figo hapana jamani ni kama maisha yamesimama nilikuwa namuonea huruma tabu anayopata ni hatari jamani. sisi tuombe Mungu atulinde na kila aina ya maradhi.
Mbona huu ugonjwa unatisha kuliko hata ukimwi?With Kidney failure, sitashtuka sana! Siombi hayo lakini ule ugonjwa si mzuri katu. All metabolic wastes have no exit outside the body!