TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

With Kidney failure, sitashtuka sana! Siombi hayo lakini ule ugonjwa si mzuri katu. All metabolic wastes have no exit outside the body!
Mbaya sana! May be it was difficult to replace the failed kidneys
 
Mbona huu ugonjwa unatisha kuliko hata ukimwi?
1:Ungonjwa huu unasababishwa na nini?
2:Je inachukua muda gani kuugundua?
3: ni dalili zipi za awali mgonjwa anakuwa nazo?

Rip ruge.[emoji22]
Kuna chronic na Acute kidney failure hiz zinatofautiana.... Hiyo chronic Mara nyingi haioneshi Symptoms ila mgonjwa ana experience uchovu... Highblood pressure.. Ambayo hupelekea mapigo yake ya moyo kuwa abnormal n. K.

Wataendelea wengine[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nilikuwa najiandaa kuchanga lakini ndiyo hivyo imetokea. Ninavyoelewa mimi michango ilikuwa inaendelea na kulikuwa kuwe na matukio ya kuhamasisha michango huenda mwenzetu uliwahi kuchanga mapema
 
Na usiombe kidney failure ikaambatana na presha.....ni hatari sana😳😵
Na Kidney ikiferi tu presha nayo inaanza due tu Impairment of RAAS(Renin aldosterone angiotensin system),so presuure is one of the complication of Renal failure.

R.I.P Bro Ruge.

Sent from Nokia 7 Plus
 
Serious?! Hata kama Marehemu haswemwi mabaya; wewe ulitaka aendelee kuzalishwa bila ndoa hadi lini? Au kwavile Ruge alikuwa na pesa? Hivi alikuwa na sababu gani za msingi za kuendelea kumzalisha bila ndoa miaka yote hiyo? Acha kutetea ujinga wewe!!!
Kwa hili Ruge ni msafi kabisa maana Kwa habari zilizosikika ni kwamba alikuwa tayari kuoa kabisa ila familia ya Zama na Zama mwenyewe walikuwa hawataki kubadilisha dini na moja ya sharti alilopewa ili kumuoa Zama abadilishe dini awe muislam hapo ndio hawakufikia muafaka na kibaya zaidi Zama hakuwahi kumuambia Ruge kwamba anaolewa yaani Ruge aliona harusi mitandaoni kama watu wengine ambavyo tuliona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…