Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbaya sana! May be it was difficult to replace the failed kidneysWith Kidney failure, sitashtuka sana! Siombi hayo lakini ule ugonjwa si mzuri katu. All metabolic wastes have no exit outside the body!
Yaani ni sheeder.Dah kadanja na pesa yake. Huu ugonjwa huu
Mbaya sana! May be it was difficult to replace the failed kidneys
Kuna chronic na Acute kidney failure hiz zinatofautiana.... Hiyo chronic Mara nyingi haioneshi Symptoms ila mgonjwa ana experience uchovu... Highblood pressure.. Ambayo hupelekea mapigo yake ya moyo kuwa abnormal n. K.Mbona huu ugonjwa unatisha kuliko hata ukimwi?
1:Ungonjwa huu unasababishwa na nini?
2:Je inachukua muda gani kuugundua?
3: ni dalili zipi za awali mgonjwa anakuwa nazo?
Rip ruge.[emoji22]
Mimi nilikuwa najiandaa kuchanga lakini ndiyo hivyo imetokea. Ninavyoelewa mimi michango ilikuwa inaendelea na kulikuwa kuwe na matukio ya kuhamasisha michango huenda mwenzetu uliwahi kuchanga mapemaNilichojifunza kwa tukio hili ni kuwa kadiri siku zinavyosogea ndivyo kiwango chetu cha unafiki kinavyozidi kuongezeka. Wakati umetolewa wito wa kumchangia ndugu huyu apate matibabu, hamasa ilikuwa chini sana lakini kitendo cha kutangazwa kufa kwakwe wengi wakaanza kuleta kumjua kana kwamba hawakujua kama alikuwa anahitaji msaada.
Mungu amweke mahali anapostahili. Amen.
Mimi serikali ya jiwe siipendi ila tuangalie na vitu vingine vya ku blame ccm,Mbona mnakuwa wakali mkiambiwa ukweli.
Hata Mimi nilikua nawaza why asifanye transplant ya kidney!!waweza kua sahihi kwa hilokidney transplant nowdays ni rahisi sana..
Na uwezo wa kufanyiwa transplant alikuwa nao, nahisi kuna kitu tofouti ndio kimemuondoa duniani...
Na Kidney ikiferi tu presha nayo inaanza due tu Impairment of RAAS(Renin aldosterone angiotensin system),so presuure is one of the complication of Renal failure.Na usiombe kidney failure ikaambatana na presha.....ni hatari sana😳😵
Hayo ni matokeo ya demokrasia mnayo ililia kila siku wakati hamuwezi kuishi... Kikatiba yupo sawa hajavunja sheria za nchi...Yule dudu baya naona anafugwa yulee kuna watu nafikiri wanafurahia anachofanya kabisaa!!!!maana angekua hana anaemtuma angekua ameshastakiwa kabisaa!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hili Ruge ni msafi kabisa maana Kwa habari zilizosikika ni kwamba alikuwa tayari kuoa kabisa ila familia ya Zama na Zama mwenyewe walikuwa hawataki kubadilisha dini na moja ya sharti alilopewa ili kumuoa Zama abadilishe dini awe muislam hapo ndio hawakufikia muafaka na kibaya zaidi Zama hakuwahi kumuambia Ruge kwamba anaolewa yaani Ruge aliona harusi mitandaoni kama watu wengine ambavyo tulionaSerious?! Hata kama Marehemu haswemwi mabaya; wewe ulitaka aendelee kuzalishwa bila ndoa hadi lini? Au kwavile Ruge alikuwa na pesa? Hivi alikuwa na sababu gani za msingi za kuendelea kumzalisha bila ndoa miaka yote hiyo? Acha kutetea ujinga wewe!!!