TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Mods hebu rekebisheni hyo heading!Isomeke tu Ruge afariki dunia..au bas andikien watanzania wamlilia[emoji58]
Hadhi yako haitakuja kuwa sawa na JPM hadi unaingia kaburini. Heading iko sahihi unless ufunguliwe uzi wa Jpm kumlilia Ruge.

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Role ya Ruge kusaidia Nchi Kwenye Uchaguzi Mkuu 2010 na 2015 Ni kubwa kubwa kubwa Kuliko ya Pole pole, Bashiru, Makonda ambao wamekuta Chombo kimeshatia Nanga Pwani hawajui dhoruba wala Vimbunga ilivyokumbana navyo Kwenye 'Red sea'
 
Mbona wanasema tigo ikifel mgonjwa anaweza badilishiwa figo kwa kupewa na na MTU ama ndugu je ruge alikosa MTU wa kumpa figo? Hata kama ni gharama ila kwa status ya ruge mbona watu wangechanga?
 
Dah! ujumbe wako umenigusa hadi mimi.May his soul rest in peace

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pumzika kwa amani Rugemalila,
Tutakukumbuka kwa mema mengi,
Poleni wote walioguswa na msiba huu,
''Nchi na vyote vijazavyo ni mali ya Bwana, Dunia na wote wakaao ndani yake''.
 
Pumzika kwa amani Rugemalila,
Tutakukumbuka kwa mema mengi,
Poleni wote walioguswa na msiba huu,
''Nchi na vyote vijazavyo ni mali ya Bwana, Dunia na wote wakaao ndani yake''.
Anaitwa Ruge,siyo Rugemalila.
 
Mfano hakua anaumwa Figo, so what??
Kifo ni kifo wapo wanaolala wakiwa wazima na kuamka maiti,

Badala ya kujadili magumu yako unaanza kujadili marehemu kafa na nini,

Pathetic.
 
Role ya Ruge kusaidia Nchi Kwenye Uchaguzi Mkuu 2010 na 2015 Ni kubwa kubwa kubwa Kuliko ya Pole pole, Bashiru, Makonda ambao wamekuta Chombo kimeshatia Nanga Pwani hawajui dhoruba wala Vimbunga ilivyokumbana navyo Kwenye 'Red sea'
Mkuu ulimaanisha kukisaidia Chama tawala kwenye uchaguzi mkuu? Hebu nielewesha aliisaidiaje nchi,ama kusaidia kukirejesha chama kwenye hatamu ndo kusaidia nchi kwenyewe?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
RIP Ruge,nimeumia sana ingawa sikuwa najuana naye wala sikuwa shabiki wake hata kidogo, lakini imenitouch. RIP Ruge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…