TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba



😅😅😅kuna qoute nilikua namkwot msuli nashanga haikuenda ikajumuisha na yako...eish haya mama!
 
R.I.P Ruge sikuwahi kukuona macho kwa macho but i used to like your job.

Mtoa mada at that time ilikuwa ikiitwa MAWINGU
 
Unafikili kwa kipindi chote alichoumwa hakumrejea Mungu? Mungu ni mwenye huruma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Elimu yake haitamsadia chochote huko aliko. Wewe na amali yako tu,,naPoleni sana wafiwa
 
Ameen!Bwana ametoa na Bwana ametwa jina lake na libarikiwe
 
Broo hadhi ipi unayoizungumzia....kwa Mungu na duniani wote tunahadhi sawaa...kuna wanafiki wa kujipendekeza wachache kama wewe wanapenda kuitukuza miungu watu hapa duniani na kuionesha ina hadhi
Huyo mwenzio kakereka kwanini heading ina Rais wa Tanzania. Ndio nimemjibu hivo na sio kujipendekeza bali ni FACT. Hata kama Rais asingewekwa hapo bado kwa hadhi yake kuna vyombo vingi tu vya habari vingeandika Rais aungana na watanzania kumlilia Ruge. Kuna sehem inatakiwa siasa uchwara lkn sio kila Sehemu.

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
I once thought about it ile siku Sebastian Maganga amehairisha Fiesta akatoa taarifa katika hali ya jitimai sana, kuwa boss Ruge ana hali mbaya ila ni dhahiri sura zao zilijaa huzuni sana. Ile siku Clouds Fm walikuwa wanapiga nyimbo za maombolezo siku nzima. I thought something was being hidden about the life status of boss Ruge!
 
Dahhh, mission completed[emoji34]!

Rest Easy brother Ruge M.

Sent from my Iphone using Tapatalk
 
Sasa hasa walikuwa wanaficha kwa ajili gani kama ni kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…