Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilijikuta namsifia tu maana uwezo wa hu Master mind wake ulinikosha sana mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shost sie tunajuq ndoa mpk ifungwe msikitini au kanisani ndo maana hata yule bi dada alienda kuolewa kwa sbb alijua yupo huru hana binding agreement na mtu. Kwa hyo kama ilikua ndoa ya kiserikali tungesikia. Ukisema ndoa unaenda mbali kuna type za ndoa ila hyo ya kukaa miezi sijui kuzaa sio ndoa bali ni mahusiano yanayotambulika kisheria za sasa but si ndoa na hata siku anazikwa hakutakua na risala inayosema marehemu alioa bali marehemu alikua na watoto wawili.
R I P Ruge, kwenye mwili si figo tu ndo hatari, ubongo je? Ni kumwomba Mungu tu ufe bila mateso maana kufa ni lazima.kwenye mwili wa binadamu ogopa sana ini na figo kupata hitilafu...
Tupe huo u master mind wake walau kidogo na sisi tuanze kumsifu
Unafikili kwa kipindi chote alichoumwa hakumrejea Mungu? Mungu ni mwenye hurumaMungu atamuweka alipojiandalia maana binadamu uandaa makao ya milele akiwa hai so hakuna wa kumpangia Mungu amweke wapi ata mkisali misa 10,000 haziwezi kubadili kitu kwenye maisha mapya ya Mbinguni.
Tenda mema na kufanya toba kila wakati kwa maana hatujui wakati wala saa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana Nilikuwa simfahamu. Zaidi ya kumwona kwenye forums mbalimbali tu
Huyo mwenzio kakereka kwanini heading ina Rais wa Tanzania. Ndio nimemjibu hivo na sio kujipendekeza bali ni FACT. Hata kama Rais asingewekwa hapo bado kwa hadhi yake kuna vyombo vingi tu vya habari vingeandika Rais aungana na watanzania kumlilia Ruge. Kuna sehem inatakiwa siasa uchwara lkn sio kila Sehemu.Broo hadhi ipi unayoizungumzia....kwa Mungu na duniani wote tunahadhi sawaa...kuna wanafiki wa kujipendekeza wachache kama wewe wanapenda kuitukuza miungu watu hapa duniani na kuionesha ina hadhi
Sasa hasa walikuwa wanaficha kwa ajili gani kama ni kweli?I once thought about it ile siku Sebastian Maganga amehairisha Fiesta akatoa taarifa katika hali ya jitimai sana, kuwa boss Ruge ana hali mbaya ila ni dhahiri sura zao zilijaa huzuni sana. Ile siku Clouds Fm walikuwa wanapiga nyimbo za maombolezo siku nzima. I thought something was being hidden about the life status of boss Ruge!