Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE]Huu ni ukakasi kwangu mm, maana imewagusa waliotendewa me ni mtazamaji tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
nani kakwambia ilikuwa figo?Katangulia mbele ya haki tayari,Rugge alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa figo.Hali iliyopelekea kupelekwa south africa kwa matibabu na umauti kumkuta huko.
Kuna waandishi habari wengi wa kutaka kuonekana wao ndo wakwanza kutoa habari au kusikia kifo cha huyu mtu DAHHh mnaboa.
Hahaaa[emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]Polepole hatoshi kwenye hiyo nafasi. Kila barua anakosea tarehe sijui anawaza nini?
Tupe updates tunazihitaji sana huyo kichaa fanya kama hujamuonaKuna wasomaji wengi mnatamani kujua habari za msibani mwa huyu mtu khaa unakera
Kashasha huyu sio mwalimu kashasha
With Kidney failure, sitashtuka sana! Siombi hayo lakini ule ugonjwa si mzuri katu. All metabolic wastes have no exit outside the body!
.May his soul Rest In Peace and the peoertual light shine upon him.
If you O Lord should mark our guilt, Lord who will survive?
But with you I found forgiveness.
ππΎ
Haya acha kila mtu aelewe anavyoelewa. Mambo yasiwe mengi na mengi yakawa mamboππ π π kuna qoute nilikua namkwot msuli nashanga haikuenda ikajumuisha na yako...eish haya mama!