directortmk
Member
- Oct 19, 2011
- 35
- 33
RIP Rugemalira Mutahaba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AmenMkurugenzi wa vipindi vya Clouds Media Group (CMG) ndugu Ruge Mutahaba amefariki dunia, chanzo ni taarifa ya habari ITV, Rest in Peace Ruge, Tuliumbwa kwa udongo, tutarudi kwa udongo, Duniani tumepanga nyumba yetu ya milele ipo mbinguni
Sent using Jamii Forums mobile app
Juzi KKKT waligoma kumzika kaka yangu kapuku kisa tu hana ndoa sasa nasubiria kuona wakimzika hadi na askofu kisa tu Ruge ni tajiri...lets stay eye opened
Mateso yanakujaFuraha kwa zama
Ruge ni kijana wetu sote, siyo kijana wa mtu mmoja tu, huo ni ubinafsi ulioko moyoni mwa mtu pekee, wakati mwingine inatokea tu mtu keshatamka yaliyo ya kibinafsi ambayo hujaza moyo bila kujitambua.R.I.P Kwa Bukoba hili ni pigo
Huu ni ukakasi kwangu mm, maana imewagusa waliotendewa me ni mtazamaji tu.