TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Kongo sio kongowe
Ungeuliza funeral home Gani yupo ? Unafikiri mtu akifa nchi kama hizo maiti lazima huwa hospitali mortuary kama Tanzania!!!! Mtu uko Tanzania unajitia uko Africa kusini hivi mikoa ya kusini ni Africa ya kusini?
Hahahahahaha, We Jamaa hopeless sana!!!

Sent from my Iphone using Tapatalk
 
Aliyekaribu na pugi mwambieni aache dharau khaa si angeitoa miwani wakati wa kusalimiana na Mzee Mutahaba. Miwani yenyewe fekimtoto wa kina IKIRIRI kichwa wazi msibani
 
Watakujibu Lumumba mda si mrefu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hivi yule nabii mfufuaji yuko likizo nini? Mngeongea naye amfufue mpendwa wetu maana huku watu wanalia sana. Mlioko South Africa mtusaidie kwa hili jamani. Watu wanalia sana huku isipokuwa wasanii watatu tu.
 
Kongo sio kongowe
Ungeuliza funeral home Gani yupo ? Unafikiri mtu akifa nchi kama hizo maiti lazima huwa hospitali mortuary kama Tanzania!!!! Mtu uko Tanzania unajitia uko Africa kusini hivi mikoa ya kusini ni Africa ya kusini?
Mkuu taja tu hosptali gani labda jamaa anataka kwenda kuhakiki ile gharama ya matibabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huu msiba mzito.. ila report ya marehemu inaficha ficha vitu vingi.

tulichangishwa bila kutajiwa jina la hospitali..

jamaa kauliza jina la hospitali? hakuna majibu
 
Kongo sio kongowe
Ungeuliza funeral home Gani yupo ? Unafikiri mtu akifa nchi kama hizo maiti lazima huwa hospitali mortuary kama Tanzania!!!! Mtu uko Tanzania unajitia uko Africa kusini hivi mikoa ya kusini ni Africa ya kusini?
hahaaaaaaa huyu atakuwa nachingwea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…