Sio kweli......wenye pesa wanakula by choice and taste sio kuzoa kila takataka inayopita mbeleMwenye pesa hua hatafuti wanawake bali wanawake ndio humtafuta yeye.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kweli......wenye pesa wanakula by choice and taste sio kuzoa kila takataka inayopita mbeleMwenye pesa hua hatafuti wanawake bali wanawake ndio humtafuta yeye.
Izo ndio akili za ki Tundulisu sasa ikiwa Rais kawa wakwanza kutangaza wewe kinacho kukera kitugani? Unajua Hayati Baba wa Taifa alikufa lini? Unajua apa Tanzania msiba ulitangazwa lini? Ivi unafikiri Watanzania wote walikua hawajui kama Baba wa Taifa alisha kufa kabla ya Tangazo lile!! Acha kufuatilia mambo yasiyo kuhusu, usione walio kaa kimya wote wapumbavu.Mimi binafsi hua nina questioning mind, hua sikubaliani na kila ninachoambiwa bila kujiuliza.
Kwa maelezo ya mwana familia, Ruge alifariki majira ya sa kumi jioni siku ya juzi tarehe 26.2.2019 huko kwa Mzee Mandela.
Katika hali ya kawaida najua watu wa kwanza kujua habari ya kifo ni wanafamilia pamoja na ndugu na marafiki wa karbu mapema kabisa baada ya mpendwa wao kuwatoka. Hili la Ruge limekua tofauti, baada ya kupita takribani masaa 4 baada ya kifo, taarifa ya kifo imekuja kutolewa kwa hadhara na Mheshimiwa Rais.
Najiuliza tu, ilikuaje rais ndio akawa mtu wa kwanza kuujulisha umma kifo cha Ruge. Hakuna asiejua kua Ruge ni mtu maarufu ila hakua kiongozi wa kisiasa.
Najiuliza tu.
Hebu nisaidie dada yangu, kwani Ruge alikua kiongozi wa kitaifa?Izo ndio akili za ki Tundulisu sasa ikiwa Rais kawa wakwanza kutangaza wewe kinacho kukera kitugani? Unajua Hayati Baba wa Taifa alikufa lini? Unajua apa Tanzania msiba ulitangazwa lini? Ivi unafikiri Watanzania wote walikua hawajui kama Baba wa Taifa alisha kufa kabla ya Tangazo lile!! Acha kufuatilia mambo yasiyo kuhusu, usione walio kaa kimya wote wapumbavu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha wewe jamaa jinsia za hawa watu umezijulia wapi ? Maana naona ni me kwenye profile zao ila unawaita dadaIzo ndio akili za ki Tundulisu sasa ikiwa Rais kawa wakwanza kutangaza wewe kinacho kukera kitugani? Unajua Hayati Baba wa Taifa alikufa lini? Unajua apa Tanzania msiba ulitangazwa lini? Ivi unafikiri Watanzania wote walikua hawajui kama Baba wa Taifa alisha kufa kabla ya Tangazo lile!! Acha kufuatilia mambo yasiyo kuhusu, usione walio kaa kimya wote wapumbavu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi binafsi hua nina questioning mind, hua sikubaliani na kila ninachoambiwa bila kujiuliza.
Kwa maelezo ya mwana familia, Ruge alifariki majira ya sa kumi jioni siku ya juzi tarehe 26.2.2019 huko kwa Mzee Mandela.
Katika hali ya kawaida najua watu wa kwanza kujua habari ya kifo ni wanafamilia pamoja na ndugu na marafiki wa karbu mapema kabisa baada ya mpendwa wao kuwatoka. Hili la Ruge limekua tofauti, baada ya kupita takribani masaa 4 baada ya kifo, taarifa ya kifo imekuja kutolewa kwa hadhara na Mheshimiwa Rais.
Najiuliza tu, ilikuaje rais ndio akawa mtu wa kwanza kuujulisha umma kifo cha Ruge. Hakuna asiejua kua Ruge ni mtu maarufu ila hakua kiongozi wa kisiasa.
Najiuliza tu.
Ndo mana marais na viongozi wameenda msibanihata kama alikua na mabaya yake still ana deserve kuzikwa with dignity..
GENTAMYCINE,
Dada, mambo ya chuki kwa rais yametokea wapi mamaangu?
Rais alikua wa kwanza kumchangia Ruge, ni kweli ila ni baada ya umma kutangaziwa kua Ruge anaumwa ndio rais akatoa mchango wake.
Una uhakika kuwa maelezo yangu yote hayo marefu hapo yameonyesha Chuki / Husuda / Kisununu dhidi ya Mheshimiwa Rais wangu Dkt. Magufuli? Kuna Watu ama hakika huwa mnanilazimisha niwe nawajibu hovyo ( Kunya / Shombo ) hapa Jamvini halafu mnakasirika na nikiwa nawadharau kwa Upumbavu / Upopoma wenu msiwe mnakasirika sawa? Nakupa ' assignment ' ndogo tu nakuomba urudie Kusoma hiyo ' Post ' yangu hapo na nionyeshe ni wapi nimemchukia Rais na ukijiridhisha kuwa hakuna nakuomba uniombe radhi haraka kabla ' Mizimu ' yangu ya Uzanakini ( Mara ), Umakuwani ( Mtwara ) na Ututsini ( Gisenyi nchini Rwanda ) haijaamka na ukajuta kuifahamu hii ' Brand ID ' sawa?