TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Hata kama alipata habari haifai raisi ndiyo kuwa source ya habari
NI kawaida yake kwenye msiba was masAburi pia alijichukulia jukumu la kwenda KINYUME na hotuba ya familia kutangaza kuwa masAburi Ana wake na watoto was kutosha[emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji86][emoji86][emoji86][emoji85]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unapoenda hosp kuna karatasi unapewa usaini so upone usipone malipo yapo pale pale. Muwe mnasoma makaratasi kabla ya kusaini
Ww hujaelewa logic yangu....
naelewa lazima ulipie huduma....but lazima walipwaji wawe reasonable kama huduma haikukamilika
 
Nina andika uzi huu nikiwa na hasira vibaya mno!

Kwanza nimechukia mtu kama Diamondi kutwezwa na jamii ya akina Mrisho mpoto wakimuona kama mtu muhm sana katika msiba wa Ruge ,kwa ufupi wanao mchukia Ruge wana nini?

Kwa ufupi hawana elimu ni vichwa maji wanao bebwa na upepo wa kuimba tukiamua kuto sikiliza upuuzi wao hawana kazi nyingine ya kufanya zaid ya hiyo!

Mtu kama Huyo Binti jide ni ovyo kabsa hakuna mwanamke ambae hana stara kama huyu mwanamke kinachombeba ni miziki yake ila ni miongoni mwa wanawake wasio na adabu katika jamii.

Kwa ufupi diamondi na jide tofautisheni clouds na TBC ili mjue mlitendalo!

Mwisho Diaamond husiende msibani huna lolote la kufanya pale, pesa ulizo nazo ni kwa vimeo wenzako wasio na elimu wenzako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe unayeshindwa kutambua kila mtu ana utashi wake wa kumpenda mtu au kutompenda, huoni kwamba umeenda shule ila haujaelimika?
 
😊😊😊..leo unasema hvyo tukimove on siku nyinhine mtasema wanawake huwa waharidhiki..alikua malaya tu..kha
Nope kuna some situation inakuwa hakuna namna you need to move on no matter what halafu ruge na zama hawakufunga ndoa japokuwa walipata watoto so bibie alimuona mshikaji sio muoaji akasepa
 
Nina andika uzi huu nikiwa na hasira vibaya mno!

Kwanza nimechukia mtu kama Diamondi kutwezwa na jamii ya akina Mrisho mpoto wakimuona kama mtu muhm sana katika msiba wa Ruge ,kwa ufupi wanao mchukia Ruge wana nini?

Kwa ufupi hawana elimu ni vichwa maji wanao bebwa na upepo wa kuimba tukiamua kuto sikiliza upuuzi wao hawana kazi nyingine ya kufanya zaid ya hiyo!

Mtu kama Huyo Binti jide ni ovyo kabsa hakuna mwanamke ambae hana stara kama huyu mwanamke kinachombeba ni miziki yake ila ni miongoni mwa wanawake wasio na adabu katika jamii.

Kwa ufupi diamondi na jide tofautisheni clouds na TBC ili mjue mlitendalo!

Mwisho Diaamond husiende msibani huna lolote la kufanya pale, pesa ulizo nazo ni kwa vimeo wenzako wasio na elimu wenzako.

Sent using Jamii Forums mobile app
mbona povu hivo why? Akienda msibani shida iko wapi? Why Watanzania tunafika huko? Sisi ni ndugu tusiruhusu shetani atugawe katu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom