Nina andika uzi huu nikiwa na hasira vibaya mno!
Kwanza nimechukia mtu kama Diamondi kutwezwa na jamii ya akina Mrisho mpoto wakimuona kama mtu muhm sana katika msiba wa Ruge ,kwa ufupi wanao mchukia Ruge wana nini?
Kwa ufupi hawana elimu ni vichwa maji wanao bebwa na upepo wa kuimba tukiamua kuto sikiliza upuuzi wao hawana kazi nyingine ya kufanya zaid ya hiyo!
Mtu kama Huyo Binti jide ni ovyo kabsa hakuna mwanamke ambae hana stara kama huyu mwanamke kinachombeba ni miziki yake ila ni miongoni mwa wanawake wasio na adabu katika jamii.
Kwa ufupi diamondi na jide tofautisheni clouds na TBC ili mjue mlitendalo!
Mwisho Diaamond husiende msibani huna lolote la kufanya pale, pesa ulizo nazo ni kwa vimeo wenzako wasio na elimu wenzako.
Sent using
Jamii Forums mobile app