roselina john
JF-Expert Member
- Aug 17, 2017
- 758
- 945
DUUH! Mbona huu ujumbe kama sio wangu Mkuu?Alipokuwa anagugumia hospitalini hamkwenda kumuona. Leo kafa mnataka kwenda kumuaga, mnaekwenda kumuaga si Ruge ni maiti yake ambayo haiwezi hata kutambua uwepo wenu. Acheni unafiki.
Yeah sababu kuna wengine wanakufa hata kiungo hakionekani, kuna wengine wanachomwa moto wanabaki majivu, kwa hiyo kuna watu wanamzidi Mungu maarifa ya kuikwepa hiyo adhabu ya kaburini, sababu sio wote wanazikwa.
Jibu hili hapa msiendelee kujaza space...HAKUOA NANI ATAPOKEA MSIBA?? JIONGEZAGE JAMAA ANGU
Kama zilivo desturi za kichaga na kihaya mara nyingi mtu mzima anapofariki msiba huwekwa nyumbani kwake, na Kama ni mtoto basi msiba huwa kwa wazazi wake, sijaelewa kwanini Kaká yetu mpendwa wameamua kupeleka msiba kwa baba na si kwake, au labda ni kutokana na ukubwa wa msiba wenyewe kwa wa Tanzania.
Uko sahihi iwapo tu familia ya Mzee Mutahaba ingekuwa mbali na Dar, au kama huyu mzee asingekuwepo mahali pa karibu kwa sababu yeyote ile. Kwa sasa hivi kwa vile yupo, msiba unakuwa ni wa Mzazi, Prof Mutahaba.Nawapa pole sana wafiwa!

Hii imenishangaza sana kwa kweli wahaya wameanza ujenzi wa kaburi leo mazishi siku tatu zijazo mbona mapema sana au litakuwa la ghorofa? au litakuwa lina undergroundVijana wamekamata FURSA ya kujenga kaburi
Msaada au biashara?kwamba ruge alikua anafanya bure?Tuseme.kweli hakuna kijana alokuwa anawasaidia wenzake kama Ruge,
Akina diamond muda huu wanajifanya hawakupata mchango wowote kwake lakin Mungu ndo anajua
Labda kwa kuwa mazishi yataudhuriwa na wengi ndio maana wamefanya maandalizi mapemaHii imenishangaza sana kwa kweli wahaya wameanza ujenzi wa kaburi leo mazishi siku tatu zijazo mbona mapema sana au litakuwa la ghorofa? au litakuwa lina underground
Wahaya bwana eti alikua maarufu lakini sio kwao!!yaani hao watu Mimi siwawezi kwa sifaq
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama zilivo desturi za kichaga na kihaya mara nyingi mtu mzima anapofariki msiba huwekwa nyumbani kwake, na Kama ni mtoto basi msiba huwa kwa wazazi wake, sijaelewa kwanini Kaká yetu mpendwa wameamua kupeleka msiba kwa baba na si kwake, au labda ni kutokana na ukubwa wa msiba wenyewe kwa wa Tanzania.
U
Ni Kweli, nilitaka kukazia kile ulichomjibu mtoa mada. You had a point there.DUUH! Mbona huu ujumbe kama sio wangu Mkuu?
R.I.P the Boss Ruge
Ina maana kipaji cha Diamond alikiweka kwake Ruge? Kwa taarifa yako Marehemu alikuwa anatazama mtu maarufu anaenda kujaribu kufanya biashara nae ili nae apate mkate kupitia huyo mtu na kwa taarifa yako mtu wa kati kwenye industry ndio anafaidika kuliko msanii mwenyewe ndio maana hakuna msaada alioutoa Zaidi ya kutaka ku-trade na watu wenye vipaji. Ukielewa industry ya muziki utajua nasema nini ila unaonekana hujui kituTuseme.kweli hakuna kijana alokuwa anawasaidia wenzake kama Ruge,
Akina diamond muda huu wanajifanya hawakupata mchango wowote kwake lakin Mungu ndo anajua