TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Alipokuwa anagugumia hospitalini hamkwenda kumuona. Leo kafa mnataka kwenda kumuaga, mnaekwenda kumuaga si Ruge ni maiti yake ambayo haiwezi hata kutambua uwepo wenu. Acheni unafiki.
DUUH! Mbona huu ujumbe kama sio wangu Mkuu?
 
Kufanya mambo bila mpango mkakati na kabla ya uchambuzi yakinifu ni janga kubwa linaloipeleka NJI yetu barabara ileile ya Zimbabwe na Venezuela ya HUGO CHAVES na Maduro!!

Hili jambo litaleta sintofahamu na taharuki kubwa sana kwa wananchi wanyonge, hivi mwendo huu mpaka lini, ehh mungu tuepushe na mabalaa haya!
 
Kama zilivo desturi za kichaga na kihaya mara nyingi mtu mzima anapofariki msiba huwekwa nyumbani kwake, na Kama ni mtoto basi msiba huwa kwa wazazi wake, sijaelewa kwanini Kaká yetu mpendwa wameamua kupeleka msiba kwa baba na si kwake, au labda ni kutokana na ukubwa wa msiba wenyewe kwa wa Tanzania.

Uko sahihi iwapo tu familia ya Mzee Mutahaba ingekuwa mbali na Dar, au kama huyu mzee asingekuwepo mahali pa karibu kwa sababu yeyote ile. Kwa sasa hivi kwa vile yupo, msiba unakuwa ni wa Mzazi, Prof Mutahaba.Nawapa pole sana wafiwa!
 
Tuseme.kweli hakuna kijana alokuwa anawasaidia wenzake kama Ruge,

Akina diamond muda huu wanajifanya hawakupata mchango wowote kwake lakin Mungu ndo anajua
Msaada au biashara?kwamba ruge alikua anafanya bure?
 
db22d980-dbfc-48c0-9800-94636343fce6.jpg

Mjitayarishe kukwepa foleni mwili unafika saa 9
 
Wahaya bwana eti alikua maarufu lakini sio kwao!!yaani hao watu Mimi siwawezi kwa sifaq

Sent using Jamii Forums mobile app

Mtutue banaaaa. Mnatusakama sana.

Sio sifa. Tunajiamin. Hutaki unaach

Kutojiamin kwenu kunawafanya mtuone tuna misifa, tunaringa.

Hivi nikiringa au nikiwa na misifa nakupunguzia nini?.

Kama wahaya wanaringa- waganda, wanyaru, wanigeria wanafanyeje?.
 
Kama zilivo desturi za kichaga na kihaya mara nyingi mtu mzima anapofariki msiba huwekwa nyumbani kwake, na Kama ni mtoto basi msiba huwa kwa wazazi wake, sijaelewa kwanini Kaká yetu mpendwa wameamua kupeleka msiba kwa baba na si kwake, au labda ni kutokana na ukubwa wa msiba wenyewe kwa wa Tanzania.

U

Uko sahihi iwapo tu familia ya Mzee Mutahaba ingekuwa mbali na Dar, au kama huyu mzee asingekuwepo mahali pa karibu kwa sababu yeyote ile. Kwa sasa hivi kwa vile yupo, msiba unakuwa ni wa Mzazi, Prof Mutahaba.Nawapa pole sana wafiwa!
 
HABARI: Msemaji wa familia ya Mutahaba, Kashasha amesema Rais John Magufuli ametoa ndege kwa ajili ya kusafirisha mwili wa Ruge Mutahaba na waombolezaji siku ya Jumapili kwenda Bukoba atapozikwa-MCL
 
Tuseme.kweli hakuna kijana alokuwa anawasaidia wenzake kama Ruge,

Akina diamond muda huu wanajifanya hawakupata mchango wowote kwake lakin Mungu ndo anajua
Ina maana kipaji cha Diamond alikiweka kwake Ruge? Kwa taarifa yako Marehemu alikuwa anatazama mtu maarufu anaenda kujaribu kufanya biashara nae ili nae apate mkate kupitia huyo mtu na kwa taarifa yako mtu wa kati kwenye industry ndio anafaidika kuliko msanii mwenyewe ndio maana hakuna msaada alioutoa Zaidi ya kutaka ku-trade na watu wenye vipaji. Ukielewa industry ya muziki utajua nasema nini ila unaonekana hujui kitu
 
Back
Top Bottom