TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Jamaa alikufa mwezi mmoja nyuma tangu mwez wa kwanza,,ile michango ilikuwa ni movie tu

Sent using Jamii Forums mobile app


Muwe na kiwango cha utu na aibu. ina maana huo mwezi mmoja familia hakwenda kumwona? iweje mtu amefariki na familia iendelee na maisha as if hakuna kilichotokea? yule ni baba, kaka na ni mtoto wa binadamu na anauma kama wewe ungefiwa na mtoto wako au kaka yako pia usingeweza kuficha hisia
 

Celebrities Forum
Siku Diamond akifa kwa Kansa baada ya kupitia mateso na kuomba michango
Thread starterKasinja jr Start dateA moment ago
Tags None Edit



UNWATCH •••
Kasinja jr
Kasinja Jr
JF-Expert Member
A moment ago
#1
Siku akiwa kitandani hoi, anaanza kukumbuka hasa wangapi kawazunguka na kuwadhulumu kama Ommy dimpoz, ndo ataanza kuwaza kumbe kulikuwa na umuhimu wa kumsamehe baba yake mzazi na kuacha yaliyopita , ndo atakumbuka kwamba kumbe hata mademu waliompenda kwa muda huo ilikuwa ni umaarufu na matangazo ya kwenye media,

Siku ambayo atakuwa kitandani huku mama yake amejifunika kanga ameshasahau safari za South Africa na kusahau raba anazotesea muda huu, kuna siku atakumbuka kwamba kumbe mimi kama Mama nilipaswa kumuongoza mwanangu sikupaswa kuwa mama wa kibongo fleva, ndipo atakumbuka kwamba kwanini sikukemea ule uongo wa mwanangu juu ya Baba yake na waliomzunguka,

Kipindi hicho kama Bado.Wasafi TV itakuwapo ndo watakuwa wanatoa tangazo la kumchangia kupitia benk ili matibabu yaweze kugharamiwa,

Nasikitika kuna watakaokuwa wanakubeza usishangae hata akina Raynavy na Harmonise wakasusa hata kuja hospitalini kukuangalia,

Utakumbuka kwamba bora ungeenda kwa Mutahaba,

Kipindi hicho magazeti yatakuwa yamekuandika mara kadhaa hata YouTube zipo nyingi habari zako,

Kuna Maisha baada ya matukio na umaarufu
 
Ni Kweli, nilitaka kukazia kile ulichomjibu mtoa mada. You had a point there.
Ooh. Thanks Mkuu.

Kwa ulichosema hiyo ndio aina ya watanzania tuliopo japo Post #22 nimeambiwa kwamba alivyokuwa Hospitali ni ndugu wa karibu ndio waliruhusiwa kumwona.
 
HABARI: Msemaji wa familia ya Mutahaba, Kashasha amesema Rais John Magufuli ametoa ndege kwa ajili ya kusafirisha mwili wa Ruge Mutahaba na waombolezaji siku ya Jumapili kwenda Bukoba atapozikwa-MCL
Watakuwa wangapi
 
Lakin tumuombee alale pema
Kulala pema unajiandalia mwenyewe angali bado uko hai, ukishakufa unasubiri hatma yako tu kama utengeneza mambo yko na Muumba wako basi utalipwa ujira mwema la asha kama ulikuwa kinyume basi utalipwa vivyo hvyo, so hakuna yeyote yule mwenye uwezo wa kubatilisha ulale pema au pabaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe umeshawahi kumsaidia msanii gani?
 
Wewe umeshawahi kumsaidia msanii gani?
Mie simsaidii msanii ila nanunua kazi zao na kulipia kiingilio maonyesho yao. Hivi unadhani mtu mwenye kipaji anasaidiwa au watu wanagawana nae mapato ya kipaji chake? jibu ilo kwanza
 
Lady Jaydee aliwaambia kama bila wao asingekua msanii mkubwa wawachukue dada zao waimbe nao wawe maarufu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio inakuwaje?
Ni sehemu unakwenda kusafishwa kabla hujaingia mbinguni. Watoto wa Fatima walipelekwa huko na motoni lakini hawakwenda mbinguni kwani ni watakatifu tu huingia huko.
 
Askofu Gwajima amefika nyumbani kwa wazazi wa Ruge na kutoa salamu zake za rambirambi na kuwatia moyo wafiwa.
Askofu Gwajima anasema vifo huja kwa sababu mbalimbali lakini zilizo kuu ni umri kwenda na ile ya maisha kukatishwa na viumbe wengine wenye nia ovu.
Askofu ametolea mfano wa kifo cha Yesu ambacho hakikusababishwa na umri bali watu waovu.

Source Clouds tv!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…