Ina maana kipaji cha Diamond alikiweka kwake Ruge? Kwa taarifa yako Marehemu alikuwa anatazama mtu maarufu anaenda kujaribu kufanya biashara nae ili nae apate mkate kupitia huyo mtu na kwa taarifa yako mtu wa kati kwenye industry ndio anafaidika kuliko msanii mwenyewe ndio maana hakuna msaada alioutoa Zaidi ya kutaka ku-trade na watu wenye vipaji. Ukielewa industry ya muziki utajua nasema nini ila unaonekana hujui kitu
Celebrities Forum
Siku Diamond akifa kwa Kansa baada ya kupitia mateso na kuomba michango
Thread starterKasinja jr Start dateA moment ago
Tags None Edit
UNWATCH •••
Kasinja jr
Kasinja Jr
JF-Expert Member
A moment ago
#1
Siku akiwa kitandani hoi, anaanza kukumbuka hasa wangapi kawazunguka na kuwadhulumu kama Ommy dimpoz, ndo ataanza kuwaza kumbe kulikuwa na umuhimu wa kumsamehe baba yake mzazi na kuacha yaliyopita , ndo atakumbuka kwamba kumbe hata mademu waliompenda kwa muda huo ilikuwa ni umaarufu na matangazo ya kwenye media,
Siku ambayo atakuwa kitandani huku mama yake amejifunika kanga ameshasahau safari za South Africa na kusahau raba anazotesea muda huu, kuna siku atakumbuka kwamba kumbe mimi kama Mama nilipaswa kumuongoza mwanangu sikupaswa kuwa mama wa kibongo fleva, ndipo atakumbuka kwamba kwanini sikukemea ule uongo wa mwanangu juu ya Baba yake na waliomzunguka,
Kipindi hicho kama Bado.Wasafi TV itakuwapo ndo watakuwa wanatoa tangazo la kumchangia kupitia benk ili matibabu yaweze kugharamiwa,
Nasikitika kuna watakaokuwa wanakubeza usishangae hata akina Raynavy na Harmonise wakasusa hata kuja hospitalini kukuangalia,
Utakumbuka kwamba bora ungeenda kwa Mutahaba,
Kipindi hicho magazeti yatakuwa yamekuandika mara kadhaa hata YouTube zipo nyingi habari zako,
Kuna Maisha baada ya matukio na umaarufu