Haaahaaa duuuh!Nshawahi skis mambo zake sehemu 1 hivi ana dharau vibaya mnooo!!!!yaani dina alivyo kwenye mtandao sivyo dina halisi alivyooo!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Na anavyojitapa eti kaajiri wadada wawili wa kazi mmoja wa kulea mtoto mwingine wa kupika. Hataki mwanae apate shida. Maisha haya. Huyu na zama walikutana wote wale wale mshindi akaibuka zama
Anajiona superstar[emoji40][emoji40][emoji40]Alimwambiaga dada wa kazi wake h
tht hapendi wageni...nlikua nabisha hodi watoto wamerusha mpira ukaing8a getini kwake..yaan unawaona hao hapo wapo nje..dada akaja akasema dada amesema hatak wagenii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...nikamwambia dogo kuwa makini[emoji23][emoji23]leta huo mpira fast..!waliniudhi...since then mie sijawah barikiwa kbs naye..sisy angu anajibamizaga kwakwe na ishu za maua unaona kbs huyu namkera ht kumsalimu[emoji23][emoji23][emoji23].am not her fan anymore!
Kama hakuomba mwenyewe alivyokuwa hai ni bure tu..
Ila kusamehe ni sadaka ..
Cheo kikubwa sana hicho ... mwenye uwezo wa kufufua ni mmoja tu!
Yashapita hayo...inabaki historia..
Sent using Jamii Forums mobile app
its true..mwanaye kadeka sijapata ona..kwake anasema wageni wanaingia wanachafua mazingira na wanaomba sana maua๐๐alinipa hasira nikasema huyu anaringa kumbe kisa maua๐๐aje moro aone nina varieties ngap za maua..๐๐๐
Na anavyojitapa eti kaajiri wadada wawili wa kazi mmoja wa kulea mtoto mwingine wa kupika. Hataki mwanae apate shida. Maisha haya. Huyu na zama walikutana wote wale wale mshindi akaibuka zama
Shost...Domo kaja sasa hivi karimjee msibani, kazomewaje[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Nshawahi skis mambo zake sehemu 1 hivi ana dharau vibaya mnooo!!!!yaani dina alivyo kwenye mtandao sivyo dina halisi alivyooo!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmh!
Huwa naona kule mtandaon mtoto anacheza mpira hata sebuleni hakatazwi na hela ipo hata akivunja kideo kisa tu mama mtu alimpata kwa shida na kisu juu(upasuaji)
Heee mchoyo hivyo kisa maua tena nyumba ya kupanga aiseee.
Shost...Domo kaja sasa hivi karimjee msibani, kazomewaje[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema siku hizi kuna dawa ukijikubali na kunywa dawa unaishi miaka mingi tu. Huoni mjane wa yule wa BOT kazaa. Yule Joan aliyekuwa mpenzi wa yule mhonga magari mekundu BOT. Nimemsahau jina. Umeme mtu akiukwaa,kujikubali,dawa masharti anaishi miaka hata 50.
yes huyu na zama lao 1..ila nyie fans wa zam ndo mnampa kichwa naona anaandikaga sana insta bas nyie ktwa kumsifu ati ana busara๐๐๐bora mane nikitulia busara naziona hizoo..hamjamjua zama au ni vile age !ZAMA ANAFAKE SANA MAISHA YAKE..!huyu atakujaga umbuka kama Stara thomร s na lile skendo lake la fumanizi .!anywys tusihukumu
Shost...Domo kaja sasa hivi karimjee msibani, kazomewaje[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Sent using Jamii Forums mobile app
๐๐๐๐mie mwenyewe msamv superstar๐๐๐๐
Mmh!
labda hataki ndara...ziwa kuanguka
na huyo mume angemuoa kweli na miwaya??
Ngumu ....
Sent using Jamii Forums mobile app
Aaah mane unaniangusha basi kama hujui leo jua mie fans mkubwa wa ZARI na CR7 pekee. Huyo zama simfagiliii kabisa na hakuna staa wa bongo ninayeweza poteza muda wangu kumtetea
Yaaaan....ila kaipata fresh!...si kwa kuzomewa hivi daah!Mfyuuu zake alitaka kiki imebuma