TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Hakuna mkamilifu dear[emoji16][emoji16]sitoi madongo!

Najua pale clouds kawala wadada kama wote,Mwasiti alipangiwa mpk nyumba mtu nisie na uhakika nae ni Loveness tu ila wengine hawa balaaa!kafunua sketi kama zote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kapeace ehh mie bado siwez hukum upande wa siasa au mapenzi..kila mtu ana choice yake.hahahhaa niajua itakuwa vigumu kuamini..hv ww unapewa M kadhaa ufanikishe mission fulan hutafanya??yule alikua mfanyabiashara my dear..lazima iwe hvyoo..
tukija kwenye mapenzi .nahis hakupata chaguo zuri..!umesahau wanaume wakiwa wana hela ht wanawake wanataka kuonja kila sehem..!hyo ni kawaida
 
Mnaanza kukufuru sasa.. huu msiba umebebwa na media na usiasa wake kwa Magufuli na kikwete ulokuwa umejificha... IPO misiba ilogusa watu japo media hazikuipa kipaumbele kama ile was teen Dodoma na watoto wale wa Arusha...
 
Hakuna mkamilifu dear[emoji16][emoji16]sitoi madongo!

Najua pale clouds kawala wadada kama wote,Mwasiti alipangiwa mpk nyumba mtu nisie na uhakika nae ni Loveness tu ila wengine hawa balaaa!kafunua sketi kama zote

Sent using Jamii Forums mobile app
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚tunarudi kule kule.ukiwa na hela bwana ndo tabia yako halis inaonekana
 
Baba yangu ni muhimu katika nchi hii na mama yangu na wengine wanafuata
 
Huo ni utitiri wa vibanda vibanda. siyo nyumba hata kidogo, nenda kajionee Ma-estate, Modern villa ya kufa mtu Musoma vijijini.kuanzia Mugango mpaka Bwai kwitururu, chitafubhu.Butiama na Tarime... kiribo. makamanda wamejenga huko hatari Moshi nini bana! Kiribho ni mlima huu ndani ya East African's lift valley down yake yake kuna ever green grass land, mashamba na majumba hatari kama hii hapa..... hapo Wahaya siwasemi vibaya ila mnaboa sana.
lakini watu wa huko hawana majigambo jamani khaa! nawapenda bure.
 
Haya bwana kina said mwandindi
 
Comment nzuri mi nimeonyesha tu kuwa nae alikuwa binadamu mwenye mapungufu yake simuhukumu saaana hasa katika mapenzi........wanaume tunawajua vizuri sana

Mazuri yake yanafunika mabaya yake hivyo tu dada
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kumfananisha Nyerere na vitu visivyoeleweka
 
Mungu hadhihakiwi.
 
Comment nzuri mi nimeonyesha tu kuwa nae alikuwa binadamu mwenye mapungufu yake simuhukumu saaana hasa katika mapenzi........wanaume tunawajua vizuri sana

Mazuri yake yanafunika mabaya yake hivyo tu dada

Sent using Jamii Forums mobile app

Apumzike panapostahili...!ni muda mwafaka sasa wasanii kuonekan BET
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…