TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Yeah it is not personal, it was business, thanks Diamond kwa kuelewa,
 
Yaaan nyie sijui mlikuwa mnabokolewa na huyo Ruge, hivi wewe unaweza ukamlinganisha Nyerere na huyo mpenda chini? Uache kuwataja akina Sokoine na wengine wa Caliber hizo wewe umtaje mpenda beef za kitoto huyo?
 
Marehem hasemwi kwa mabaya lkn alichokifanya(kama ni kweli) si sahihi, Rubi alipaswa kufungiwa kushiriki Fiesta tu na sio kumfungia nyimbo zake zisipigwe clouds kwani ni vitu viwili tofauti. Mtu wa aina yake anaweza kukuajiri ofisini kama muhasibu wake lkn pia akataka umuoshee gari yake ukikataa kibarua huna
Kama zimefungiwa clouds si zikapigwe hata radio one, kwani lazima iwe clouds tu.?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani jamani! wabongo mtu wa kawaida hawezi kumpiga picha bashite, huyu ni usalama wa taifa tu nyie subirini tu.mtaona !
Wale wote waliokuwa karibu yake wanachunguzwa. ndiyo dawa
 
Huyu bwana rugemalila ndio mtu aliyepelekea bw kusaga kuwa tajiri mkubwa sana. Alikua kichwa sana CMG Group. wasiwasi wangu asiwe ndio ameondoka na kampuni. Maana kumpata mtu kama huyu ni bahati sana.
 
Wale wasanii si ni wa THT ambayo ruge alikuwa ni mmoja wa mabossi?? sasa walipwe vp wakati wao walisaidiwa bure?
Halafu weka msanii hata mmoja anayesema wameiipwa.
wakati huyo Farao radhi inamkataa ulikuwepo??
 
Yaaan nyie sijui mlikuwa mnabokolewa na huyo Ruge, hivi wewe unaweza ukamlinganisha Nyerere na huyo mpenda chini? Uache kuwataja akina Sokoine na wengine wa Caliber hizo wewe umtaje mpenda beef za kitoto huyo?
Ruge amekuzwa na media baada ya kifo mbona akiwa hai hakuwa muhimu kiasi hicho. Anafahamika Dar na Kagera tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi namuonaga ana nyodo aisee. Halafu anaile kujikubaliiiiiiiii hata penye hamna. Nami natamanigi niwe najikubali hivo😁
mashabiki ndo wanamfanya awe hvyo..si unaikumbuka ile blog yake wakat ule yaan waja wanamsifu tu ..khaa!ohh una busara sana😂😂..mie nnamwelewa sana gea habibu..hafae .sipend jitu linalojifekisha
 
Wewe ulitaka hiyo hiyo saa kumi upewe taarifa. Very stupid
U stupid wake uko wapi? Unaijua nafasi ya Rais kwa taifa wewe?
Rais anapaswa kutangaza vifo vifuatavyo.
1.Makamu wa Rais
2.Waziri mkuu
3.Rais mstaafu
Hata kifo cha mke wake au mama yake Rais hatakiwi kutangaza yeye binafsi, bali kurugenzi ya mawasiliano ikulu,kama hujaelewa rudi darasani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nope nope!..tena yule 3yrs ago atakuwa chapombe..anakunywa kwa kujificha..akafu anapenda kuita hom mashost wananywea pale kwake..sema hapa mdada wa kazi ndo namharibiaaa😂😂😂💪..dina had nyagi anagoga😂😂...!uwii kama namuona dadangu anapgwa marufuku mengine kutimba mle ndani😂😂😂..watajijuuuu
Sasa akisoma hapa si atajua ni wewe😂😂😂😂😂,shauri yako akakushtaki
 
Back
Top Bottom