TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Nimemuona msanii Barnaba, hata kutembea hawezi! Nimeshangaa sana hasa kwa mtoto wa kiume kuwa ktk hali ile. Bila shaka ameguswa sana na huo msiba na hasa baada ya kuisikiliza hotuba yake ndani ya huo ukumbi wa Karimjee.
Wenyeji wa mkoa wa iringa, njombe ni watu ndembendembe ndio maana wao kujiua ni kitu kawaida.
 

Attachments

  • Screenshot_20190302-140953~2.png
    Screenshot_20190302-140953~2.png
    23.5 KB · Views: 28
Nikisoma comments zako na jinsi unavyopanic ukiambiwa uliwapa walipokuomba, kuna tone ya kuonesha kwamba ni kweli uliwapa na bado wakakudump. Ndo maana una hasira nao.
Ujajibu swali wewe bwabwa
 
Wenyeji wa mkoa wa iringa, njombe ni watu ndembendembe ndio maana wao kujiua ni kitu kawaida.

Mkuu wanyalukolo na wabena ni watu majasiri sana na ndiyo maana wana mtu wao mwana mtwa Mkwawa aliyewasambaratisha kabisa Wajerumani miaka ile! Kama Barnaba ni wa mikoa hiyo basi labda ni asili tu. Atakua amezaliwa na kukulia Dar huyu.Hana budi kujikaza aisee hata kama ameguswa kiasi gani.
 
Back
Top Bottom