TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Msiba wa kanumba ndo ulikuwa mkubwa kwa vijana, huwezi fananisha uzito wa kanumba na luge. Kuna watu huku vijijini msiba wa kanumba walilia lakini nilipowapa habari za kifo cha luge wameuli " ndio nani"? In jot's voice

Barafu la moto
 
Anadaiwa na watesi wake, sidhani kama atapumzika kwa amani angali wapo waliolala njaa daily kwasaabu ya "unoko" wake. Ama tuwaambie basi weep not guys!!
 
Comment nzuri mi nimeonyesha tu kuwa nae alikuwa binadamu mwenye mapungufu yake simuhukumu saaana hasa katika mapenzi........wanaume tunawajua vizuri sana

Mazuri yake yanafunika mabaya yake hivyo tu dada

Sent using Jamii Forums mobile app
Mko sahihi!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na hayo aliyosema nini....hayajatoka kwa Mungu.

Shetani huwa haoni aibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimemuona msanii Barnaba, hata kutembea hawezi! Nimeshangaa sana hasa kwa mtoto wa kiume kuwa ktk hali ile. Bila shaka ameguswa sana na huo msiba na hasa baada ya kuisikiliza hotuba yake ndani ya huo ukumbi wa Karimjee.
Jamaa kwenye msiba wa mama yake mzazi sikuona akiwa na simanzi kama niliyomuona nayo kwenye msiba huu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakika diamond ni kipenzi cha watu.

Katika msiba huu wa Ruge wamejitokeza watu mbalimbali , lakini alipokuja rais Nasibu Abdul hali ya hewa imebadilika kwa kiasi kikubwa sana kila mmoja anamshangilia diamond kwa kuimba Simba! Simba! Simba! yani mpaka wamesahau kumlilia Ruge wao.

Wale vimbelembele wote aibu imewapata akiwemo yule mtu mzima hovyo anayetembea pekupeku kama chizi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…