TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Vitabu vimeandikwa ili visomwe. na hapo katika kusoma hujalazimishwa uyafuate ya vitabuni hakuna kitabu kama hicho, hapa sasa una elimishwa tena bure. hutaki sasa tukupe nini? BOb marley?...akili ya ku-quote changanya na yako. since of all human being minds are too complicated more than you can even imagine. perhaps than any beasts you have ever come across with... the way i think on your side are not complicated......
 
Ndp nimesema kule katika mapenzi ...
...mh sio mfano wa kuigwa

Japo wanaume ndivyo walivyo sema wengine hawawezi kutawala tamaa zao za kingono mfano ni yeye
Hakuna mkamilifu dear[emoji16][emoji16]sitoi madongo!

Najua pale clouds kawala wadada kama wote,Mwasiti alipangiwa mpk nyumba mtu nisie na uhakika nae ni Loveness tu ila wengine hawa balaaa!kafunua sketi kama zote

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua
Unajuaje labda amepokea na kutekeleza wito wa huyo mtembea peku ndio maana amefika msibani!?
 
Daah Diamond Platnumz kawapiga wambea chenga ya mwili. Yani kama ni betting tunasema kachana mikeka...
Ila amefanya jambo jema sana kuhudhuria, naamini hata yeye atakuwa na amani ya moyo sasa maana kelele kuhusu yeye zilikuwa nyingi.
Tupendane ndugu zangu, kukwaruzana kupo lakini kusameheana ni muhimu. Maisha yetu ni kama mshumaa uwakao ukipulizwa kidogo unazima.Tujitahidi kuishi kwa amani na watu wanaotuzukunga.
Mungu atupe mwisho mema sisi sote.
REST IN PEACE RUGEMALIRA MUTAHABA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…