TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Taarifa tu
Screenshot_2019-03-04-15-49-36.jpeg
2019-03-04%2015.50.19.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuzikwa na kanisa hakumuondelei dhambi mkuu, yaani hapa kanisa langu katoliki limeonesha UDHAIFU mkubwa sana, alikuwepo maaskofu wawili pale uwanjani Gymkhana na walitoa salamu za kumsifu Marehemu na kuomba aliyotenda yaendelezwe, kuacha kuongoza mwili wake kaburini ni unafiki mkubwa sana bora wasingehudhuria toka mwanzo..

Hapo wameenda kama wao sio kama kanisa. Swala la kuzika kidini ni juu ya sheria za kanisa na sio upendo au matakwa ya maaskofu.
 
Hapo wameenda kama wao sio kama kanisa. Swala la kuzika kidini ni juu ya sheria za kanisa na sio upendo au matakwa ya maaskofu.
Wameenda na wametoa ushuhuda mzuri juu ya matendo ya marehemu tena ndani ya mavazi ya kiaskofu, na walitambulishwa kama maaskofu..Huu waliofanya ni ujinga tu.. Mimi ni mkatoliki na naamini ktk kutii sheria za kanisa sana tu, ila kama angekuwa mtu wa hapo kijijini wanae mfahamu lakini hatii sheria wangeenda kama watu wa kawaida? Au na kanisa linjiendesha kisiasa? Wamepotoka.
 
Back
Top Bottom