Ruge mutahaba ajibu mashambulizi dhidi ya tuhuma za lady jaydee

futa mimate hiyo...
kwa wanaojuwa sakata hili walishaweka wazi hapa Jamvini na kuitaja Sky Light hata kabla ya Ruge hajaitaja hiyo Bendi.
Sky Light imechukua baadhi ya wanamuziki toka Machozi Band.

kama huna la kuandika kachukue kopo ukachambe.

Matusi ya nini hapo? Suala la kuchukuliana wanamuziki ni la kawaida kwa bendi, mbona Asha Baraka au Ali Choki huwa wanachukuliwa lakini hawaihusishi Clouds? Kuna kitu hapo, wanajaribu kuzunguka bila sababu ya msingi. Jay Dee na Gadner sio watoto wadogo waanze kuisema Clouds, issue ya nyimbo za Jay Dee kutopigwa nalo ni suala la Skylight band? Issue ya wasanii wa THT kutokushirikiana na Jay DEe nayo ni ya Sky Light Band? Tuache kuaminishwa upumbavu, tutumie akili kufikiri hilo na sio kutoa matusi yasiyo na mpango kwa suala ambalo hujatumia akili kulitafakari.
 
Kuna Watu walikauka Mate kutaka Ruge ajibu..... Haya sasa kashajibu turudini kuleeeee kwenye Waraka.
 
Joseph Kusaga naye anajitetea lini? maana watuhumiwa ni watatu.

Ila mimi nashangaa sana na bado nitaendelea kushangaa hivi Ruge ndio nani nchi hii? mbona tunakwenda kulicheza Ngwasuma bila ushawishi wa Clouds? au tunavyokwenda Twanga ni kwa ushawishi wa Clouds?

Licha ya kupinga dhulma za hili Genge la Maharamia wa Cloud Media lakini hata mimi nimeanza kuwa na mtazamo tofauti na hawa wasanii wetu.

Last week pale Mango Garden Ally Choki naye katangaza kuuhama ule ukumbi kisa eti kuna bendi pale ndio inathaminiwa zaidi na mmiliki wa Ukumbi na wameugeuza kama ukumbi wao.

Cha kushangaza hata mimi nisiye Mwanamuziki najuwa huwa kuna mkataba kati ya mmiliki wa ukumbi na bendi, kama bendi ikiingia mkataba wa weekend ni vigumu bendi nyingine kupata nafasi siku hiyo, ni sawa na Jumapili uombe ukumbi Africenter wakati Msondo ngoma pale ndio home ground. nimeshangazwa sana na Ally Choki.

Narudia tena ombi langu anayeujuwa umri sahihi wa Jide anitajie kuna analysis nataka kufanya itaniongoza, na anayejuwa umri wa Gadner pia ningependa kujuwa.
 

Hivi wewe Unaezungumzia nyimbo za Jaydee kutopigwa clouds kabla ya huu ugomvi ni Mskililizaji wa Redio clouds kweli Au unakurupuka tuu? Kutoshiriki kwa BARNABA/LINA kwenye miaka 13 Ingekuwa miaka 5 tuu ya Barnaba anamualika Jide angeenda kufanya show? We unamjua JayD? Msikurupuke kufikilia kwa Kutumia Masaburi km huna unachojua soma alafu kaa kimya.
 
Ila kweli Clouds wana promote sana Skylight hata Mbwiga anaijua hii SKYLIGHT dah!

Hapa Jide labda ana point lakioni inawezekana Skylight wanalipia zaidi maana hata Machozi ilitangazwa sana kipindi fulani.
 
Ila kweli Clouds wana promote sana Skylight hata Mbwiga anaijua hii SKYLIGHT dah!

Hapa Jide labda ana point lakioni inawezekana Skylight wanalipia zaidi maana hata Machozi ilitangazwa sana kipindi fulani.

Huo ndo Ukweli Mkuu.... Kabaki anawatumbuiza Wahudumu sasa! Bendi hizi mambo kwa Zamu Ipo wapi AKUDO IMPACT leo? Kuna bendi iliteka huu mji km Akudo? Atulie ajipange zamu yake itarudi tuu kma Twanga na FM wanavyopokezana.
 
Mark Francis hayo maswali yako ama hoja,zote zimejibiwa na Ruge. Alisema siku aliyoambiwa Clouds haipigi nyimbo za Jide,alifanya uchunguzi na kugundua nyimbo zake zimepigwa mara 46. Na ushahidi anao. Ila aliposikia kwenye media anatoa malalamiko kama 'hata msipopiga mi sijali' aka
Akaonelea bora wasipige tu. Barnaba na Lina walimtajia kiwango ambacho Jide alishindwa. Akadai wasanii kama Diamond,hata Jide mwenyewe wana kiwango kisichopungua Mil 10,sasa si ajabu kushindwana kibiashara.
 
Last edited by a moderator:
Eti "Nikifa wasitangaze msiba wangu wala wasije kwenye Mazishi" Yeye jaydee alishawai kwenda kwenye msiba wa nani? Bi kidede niliamini angalau ni mtu wake wa krb pengine angeeda Kashindwa kwenda hata Znz tuu hapo.
 
Akajibu suala la Fiesta kuwa wasanii wanapunjwa,kuwa wanaingia nao mikataba wala hawashurutishwi,na akasema kwenye miezi miwili tu katika mwaka ulalamikie kupunjwa,na hiyo miezi 10 mingine je,inahusika Clouds?
 
hili tangazo la tigo s la bongo fleva jamani....longa longa bure...bosi rugeee umeskis wamepiga...
na hiii ya nashkuru umerudi...
jamani wanapiga kiaina hapa
 
Akajibu suala la Fiesta kuwa wasanii wanapunjwa,kuwa wanaingia nao mikataba wala hawashurutishwi,na akasema kwenye miezi miwili tu katika mwaka ulalamikie kupunjwa,na hiyo miezi 10 mingine je,inahusika Clouds?

Enhee.... tiririka
 


Angekaa kimya mngesema Jide kiboko.
Kajibu hoja zenu mnaanza kusema kapoteza muda...
 
mkuu Gang Chomba mbona unaelekeza personal attacks zake kwa dada jide?tujikite ktk ujibuji wa hoja na kama hakuna hoja ya kujibu ni vyema kulitupa suala hilo kapuni.


Mkuki kwa nguruwe...
Yeye wiki ilopita ndo alianza kupeleka personal attacks kwa Ruge na Kusaga.

Kumbe ishu ilikuwa ni wivu tu kuwa Sky Light inamkimbiza na sky light inapata plomo kituo cha redio Clouds.
 
Last edited by a moderator:
Hiviiii,kwa mfano kina Ruge wakiamua kuifunga Clouds fm na kampuni tanzu zao je sanaa/muziki ndo utakua sana?Hakyamama,naamini watu wakikubali kuingiza siasa na ikitokea redio moja ikafungwa basi itakuwa ni muendelezo na redio nyingine na nyingine zitakufa mtindo huo huo.....Wasanii wajipange kiushindani,Jide ana tatizo na kukua kwa kasi kwa Skylight Band ambayo ni kweli inafadhiliwa na kina Ruge,wao wanatatua matatizo yao ya ushindani kwa kuanzisha ushindani zaidi na ofkozi lazima Skylight band waweke mikakati ya kuiua Machozi bendi,hii ndo biashara...wangekosea sana kama wangetishia kumuua Jide mwenyewe lakini kama kumuua kibiashara inakubalika ktk ulimwengu wa biashara.....Bado namuunga mkono Jide ila nasisitiza akomae kwani ameshaingia ktk ulimwengu wa biashara,aache mazoea ya biashara ya "huruma huruma" kwani huku hakuna hiyo kitu.Ruge et al are doing exactly what any businessmen could do kutawala soko la bidhaa zake...suala la msingi ni kama sheria hazimruhusu basi atakuwa amekosea ila kama anaruhusiwa na taratibu/sheria basi yuko sahihi...BK
 
una chuki binafsi sio bure, afu hapo ukute kimaendeleo humfikii jay dee hata robo unaumiaje sasa?LMFAO


Yamekubana eeh?
kimbilia chooni, unless ntakuzibua.
mtu kama wewe dawa yako ni Libolo FC tu.
 


Ok!
Kwanza nikwambie tu kuwa mimi ndio Gang ''Matherf*cken'' Chomba.
Utakavyokuja ndivyo utakavyonikuta.
Sasa umekuja kwa busara nami ntakujibu kwa busara.
1. UmeSema suala la kuchukuliana wanamuziki ni la kawaida, lakini kwa nini JUDITH kawahusisha Clouds?
Jibu ni kuwa Judith kawahusisha Clouds kwa kuwa tu Clouds wanaipaisha vilivyo Sky Light na pia mmiliki wa Sky Light yaani Sebastian Maganga ni mshkaji wa Ruge pia kama sikosei ni mfanyakazi pia wa Clouds...sawa?

2. umezungumzia pia ishu ya Nyimbo za Jide kutopigwa redio Clouds.
Jibu ni kuwa Jide alipigiwa simu na Ruge ili wazungumzie tofauti zilizoanza kujitokeza kati yao...but Jide akamtukana jamaa.
So hii ni adhabu kwake, na pia ameeleza kuwa kuna baadhi ya wasanii nyimbo zao hazipigwi kwenye vituo vya redio, akawataja miongoni mwao ni Diamond na Ray C...umenielewa?

3. kisha umehoji ishu ya wasanii wa THT haswa Lina na Barnaba kutoshiriki katika tamasha la Jide.
Jibu ni kuwa Jide alikuja huku anapiga salakasi ile hali kavaa taulo na kusema kuwa ati Lina na Barnaba wamebaniwa wasishiriki katika tamasha lake.
Lakini Lina na Barnaba walijitokeza na kukanusha kisha wakasema wameshindwa kuafikiana ktk malipo.

Jide anatafuta huruma za watu kama wewe ili aonekane bado wamo.
Ajipange upya, au laa anyoe nywele arudi kuimba kwaya Sabato.
 
Hivi kuna kitu sijakielewa. Kuna mahala nilisikia jD alilipa pesa ya matangazo na hayakupigwa then @ that time ruge alikuwa nje ya nchi then akaahidi akirudi atashughulikia mara nikasikia wamezuia kupiga nyimbo za jD. Swali langu je! Ile pesa ya matangazo ilirudishwa??

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 


Hah hah hah hah haaaaaaaaaaah walete walete walete walete...
Tola umenifurahisha sana.
Sasa ukitaka ugomvi na Jide ni hapo kwenye suala la Umri.

Haya tusubiri jibu sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…