Matusi ya nini hapo? Suala la kuchukuliana wanamuziki ni la kawaida kwa bendi, mbona Asha Baraka au Ali Choki huwa wanachukuliwa lakini hawaihusishi Clouds? Kuna kitu hapo, wanajaribu kuzunguka bila sababu ya msingi. Jay Dee na Gadner sio watoto wadogo waanze kuisema Clouds, issue ya nyimbo za Jay Dee kutopigwa nalo ni suala la Skylight band? Issue ya wasanii wa THT kutokushirikiana na Jay DEe nayo ni ya Sky Light Band? Tuache kuaminishwa upumbavu, tutumie akili kufikiri hilo na sio kutoa matusi yasiyo na mpango kwa suala ambalo hujatumia akili kulitafakari.
Ok!
Kwanza nikwambie tu kuwa mimi ndio Gang ''Matherf*cken'' Chomba.
Utakavyokuja ndivyo utakavyonikuta.
Sasa umekuja kwa busara nami ntakujibu kwa busara.
1. UmeSema suala la kuchukuliana wanamuziki ni la kawaida, lakini kwa nini JUDITH kawahusisha Clouds?
Jibu ni kuwa Judith kawahusisha Clouds kwa kuwa tu Clouds wanaipaisha vilivyo Sky Light na pia mmiliki wa Sky Light yaani Sebastian Maganga ni mshkaji wa Ruge pia kama sikosei ni mfanyakazi pia wa Clouds...sawa?
2. umezungumzia pia ishu ya Nyimbo za Jide kutopigwa redio Clouds.
Jibu ni kuwa Jide alipigiwa simu na Ruge ili wazungumzie tofauti zilizoanza kujitokeza kati yao...but Jide akamtukana jamaa.
So hii ni adhabu kwake, na pia ameeleza kuwa kuna baadhi ya wasanii nyimbo zao hazipigwi kwenye vituo vya redio, akawataja miongoni mwao ni Diamond na Ray C...umenielewa?
3. kisha umehoji ishu ya wasanii wa THT haswa Lina na Barnaba kutoshiriki katika tamasha la Jide.
Jibu ni kuwa Jide alikuja huku anapiga salakasi ile hali kavaa taulo na kusema kuwa ati Lina na Barnaba wamebaniwa wasishiriki katika tamasha lake.
Lakini Lina na Barnaba walijitokeza na kukanusha kisha wakasema wameshindwa kuafikiana ktk malipo.
Jide anatafuta huruma za watu kama wewe ili aonekane bado wamo.
Ajipange upya, au laa anyoe nywele arudi kuimba kwaya Sabato.