Mimi nadhani wakati wa kuregister waondoe kile kipengele cha Random question na badala yake kuwe na Hard question, maana tunarundikiwa Member humu ambao bado wanafuta kamasi.Mbona unajibu kitoto Ivyo? Wewe nawe ni Great thinker umejisajili humu?
Ukisikia ushuzi ndio huu, unahara unainuka bila kuchamba....huyu mtoa mada sijui alikua anataka akojoe arudi alale? jifunze basi kidogo kiswazi!
i have a gun binti machozi need it check on me #call911 ok kuliko kupoteza muda wakati unajua kabisa mbaya wako ni fulani..
Kwamujbu wake wasanii wengi wakichuja hawakubali hali halisi badala yake wanaanza kumtafuta mchawi
huyu mtoa mada sijui alikua anataka akojoe arudi alale? jifunze basi kidogo kiswazi!
Ametumia Radio yao kumshambulia Lady JD kumshambulia bila kujibu hoja! these to me is non sense!
Unasema?........
Huo sio uhuni wa kisomi hata kidogo_hizo ni dhuluma kama dhuluma zingine mkuu,..sema Ruge anakitolea maneno chake(radio) ndio maana anajifanya kujisafisha hapo,...huwezi kudhulumu watu halafu ukasema ni soko huria_kila kitu kina mipaka na kiasi chake,..huyo ni dhulumat tu.period
lakin jaman jd kweli amechuja?????
Siamin kama skylight bend ni tishio kwa jide,maana hata bendi yenyewe wasanii wake hawajulikani,na nyimbo zao zinachezwa clouds tu
Nyani Ngabu Gang Chomba Putin Mimi nimeamuwa kufiri very deep na kugunduwa Ruge asilaumiwe kwa vitu ambavyo wao wenyewe wanauwezo wa kuvifanya tena kuliko huyo Ruge.
Ona hapa, facebook fans page ya JD ana followers wanaozidi 50,000 je akiwatumia hawa tu achana na fans wasiokuwa wa mitandaoni hawezi kuuza kazi zake na akapata pesa nzuri nz show zake zikawa na mahudhilio mazuri!?
Anaijuwa hiyo Thai village? maana hakuna route ya daradara kule ati.Wanamuziki wa Sky light hawajulikani au wewe huwajui? Ijumaa tembelea THAI village masaki Kwa kukusaidia kuna mtu anaitwa JONICO FLOWER aliwai kuwa Diomnd sound,Chuchu sound,Machozi band na sasa Sky light........ Acha kukurupuka.
huyu mtoa mada sijui alikua anataka akojoe arudi alale? jifunze basi kidogo kiswazi!
huyo shoga ataongea nini
RUGE kaitaj bendi ya Skylite kuwa pengine cha chonza cha huyu dada kupaniq