Ruge mutahaba ajibu mashambulizi dhidi ya tuhuma za lady jaydee

Ruge mutahaba ajibu mashambulizi dhidi ya tuhuma za lady jaydee

Mpiga Kelele kama kuna kitu chema unakubali. Kwa mfano hiyo programu yao ya 'Made in Tanzania' ni nzuri na ya kufikirisha ubongo. Fuatilia kwa makini. About 60 workers wataenda Dom,kuinaugurate hiyo programme. Alitoa mfano pale Sinza kuna saloon za nywele kibao. Akauliza kama kuna mtu ameshawahi kuwaza kufungua ofisi ya kutengeneza vifaa vya saloon vinapoharibika. Endelea tu kujihabarisha. Ni jambo jema.
 
Last edited by a moderator:
Mbona unajibu kitoto Ivyo? Wewe nawe ni Great thinker umejisajili humu?
Mimi nadhani wakati wa kuregister waondoe kile kipengele cha Random question na badala yake kuwe na Hard question, maana tunarundikiwa Member humu ambao bado wanafuta kamasi.
 
huyu mtoa mada sijui alikua anataka akojoe arudi alale? jifunze basi kidogo kiswazi!
 
huyu mtoa mada sijui alikua anataka akojoe arudi alale? jifunze basi kidogo kiswazi!
Ukisikia ushuzi ndio huu, unahara unainuka bila kuchamba....

Kama umefuatilia uzi huu kuanzia page ya kwanza mpaka hii huwezi kuja na comment kijambisho kama hii

Shida yenu humu watoto wa facebook ukiona thread unajump last page sasa unategemea utaelewa ni nini!!
 
i have a gun binti machozi need it check on me #call911 ok kuliko kupoteza muda wakati unajua kabisa mbaya wako ni fulani..




hii ni biashara kaka sema kibongobongo wasanii wanafanya biashara zao kwa mazoea ukikutana na professional inakua shida. jide ana kipaji na ruge ni promoter. so ruge yuko sawa anafanya kaz yake ya upromoter
 
Kwamujbu wake wasanii wengi wakichuja hawakubali hali halisi badala yake wanaanza kumtafuta mchawi

lakin jaman jd kweli amechuja?????
Siamin kama skylight bend ni tishio kwa jide,maana hata bendi yenyewe wasanii wake hawajulikani,na nyimbo zao zinachezwa clouds tu
 
huyu mtoa mada sijui alikua anataka akojoe arudi alale? jifunze basi kidogo kiswazi!

bily uliufatilia huu uzi tangu asbui????au ndo unaingia mda huu???anza page ya 1
 
Last edited by a moderator:
Ametumia Radio yao kumshambulia Lady JD kumshambulia bila kujibu hoja! these to me is non sense!

hujamwelewa kaka kafanya vizuri kutumia chombo kinachoshutumiwa ningemtilia mashaka ruge kama angejibu kupitia tweets afu haya mambo ya mtandao yamezidi na kuwa kama umbea fulani hiv unaoshirikisha baadhi ya watu.
 
Huo sio uhuni wa kisomi hata kidogo_hizo ni dhuluma kama dhuluma zingine mkuu,..sema Ruge anakitolea maneno chake(radio) ndio maana anajifanya kujisafisha hapo,...huwezi kudhulumu watu halafu ukasema ni soko huria_kila kitu kina mipaka na kiasi chake,..huyo ni dhulumat tu.period

katika soko huria ni free entry and free exit hapo hamna kudhulumiana hata siku moja kaka bado jide ana fursa ya kuanzisha kituochake cha radio na kufanya matangazo.
 
lakin jaman jd kweli amechuja?????
Siamin kama skylight bend ni tishio kwa jide,maana hata bendi yenyewe wasanii wake hawajulikani,na nyimbo zao zinachezwa clouds tu

Wanamuziki wa Sky light hawajulikani au wewe huwajui? Ijumaa tembelea THAI village masaki Kwa kukusaidia kuna mtu anaitwa JONICO FLOWER aliwai kuwa Diomnd sound,Chuchu sound,Machozi band na sasa Sky light........ Acha kukurupuka.
 
Nyani Ngabu Gang Chomba Putin Mimi nimeamuwa kufiri very deep na kugunduwa Ruge asilaumiwe kwa vitu ambavyo wao wenyewe wanauwezo wa kuvifanya tena kuliko huyo Ruge.

Ona hapa, facebook fans page ya JD ana followers wanaozidi 50,000 je akiwatumia hawa tu achana na fans wasiokuwa wa mitandaoni hawezi kuuza kazi zake na akapata pesa nzuri nz show zake zikawa na mahudhilio mazuri!?

Dah! Leo wankosha sana na jinsi unavyofikiri.

Unanidai makange sehemu yoyote utakayoataka.

Yaani jinsi huyo Ruge na Clouds wanavyofanywa waonekane miungu utadhani wao ndo wameshikilia funguo za riziki Tanzania nzima. WTF!!!

Watu kutwa kucha kulialia tu..oh Ruge hivi...Joey vile.....mara sijui Kibonde kasema nini....geeez.
 
Wanamuziki wa Sky light hawajulikani au wewe huwajui? Ijumaa tembelea THAI village masaki Kwa kukusaidia kuna mtu anaitwa JONICO FLOWER aliwai kuwa Diomnd sound,Chuchu sound,Machozi band na sasa Sky light........ Acha kukurupuka.
Anaijuwa hiyo Thai village? maana hakuna route ya daradara kule ati.
 
watu wenye akili zao timamu hawasikilizagi radio ya wafu.
 
huyu mtoa mada sijui alikua anataka akojoe arudi alale? jifunze basi kidogo kiswazi!

Hili nalo badala ya kujadili kilichotokea limekurupukia kuangalia kiswahili tu,enewei niliandika vile kichwa cha habari ili kuvuta attention kama "magazeti ya Shigongo",ila kiswahili nakijua zaidi ya mwalimu wako mkuu
 
kimsingi Jaydee anadai ruge,kusaga wanamfanyia hila ili ashuke chini (kimuziki,kimapato)

Ruge hajakanusha hilo dai la msingi la jaydee
Bali anadai jaydee "hana hoja kamili"

Je ni kweli ruge ameshindwa kuona hoja ya msingi ya jaydee
Au ame iona ila hana jibu linaloweza kuufaa upande wake na mshirika wake kusaga

ni kweli kila mtu ana wakati wake, na nina kubaliana na dhana ya ruge ya kupokezana vijiti, ila sio kupokonyana kama anavyo fanyiwa jaydee.

Hivi Kwa maelezo ya ruge bado kuna sababu ya MSINGI ya kuto mwamini jide?
 
nash2010 kimsingi Jaydee anadai ruge,kusaga wanamfanyia hila ili ashuke chini (kimuziki,kimapato)

Ruge hajakanusha hilo dai la msingi la jaydee
Bali anadai jaydee "hana hoja kamili
Je ni kweli ruge ameshindwa kuona hoja ya msingi ya jaydee
Au ame iona ila hana jibu linaloweza kuufaa upande wake na mshirika wake kusaga?

RUGE kaitaja bendi ya Skylite kuwa pengine cha chonza cha huyu dada kupaniq
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom