Ruge mutahaba ajibu mashambulizi dhidi ya tuhuma za lady jaydee

Ruge ni mseenge kwasababu, kwa hela alizo nazo, kwa elimu aliyo nayo, bado anahangaika kupoteza muda na kimwanamke kinyangarika kama jide....ana akili za kidemu huyo ruge, mwanaume gani unashindana na demu? ana tofauti gani na lady jide sasa huyo? wote wawili si mademu tu?

amekosa kazi au? vitu vyote alivyoongea jide kwenye wosia wake mii nimeona ni sahihi na legitimate...isipokuwa tu nimeona ameandika wosia mzito mno...it was really too harsh, pamoja na kwamba hiyo inatokana na malimbikizo ya maumivu aliyokuwa nayo moyoni kwa muda mrefu pengine, ndio ameamua kuyatapika yote ili abaki mwepesiiii....akili za ruge, hata nikimwangalia...sifuri kabisa....au kwasababu anajidai kuwa yeye kazaliwa New york?...hahah, wahaya bwana....sifuri kabisa, ....ukimwangalia sura tu hana tofauti na wale wahaya wa kashozi na katelero....hadi akili na majisifa.
 

Jide kasahau kuwa hakuna marefu yasiyo na ncha, hawezi kupata milele, na unapoona dalili za kuanza kukosa, usitafute mchawi.

In any way, she has to hate the game not a player , unless hata game yenyewe haijui kisayansi.
 
Hute
Yaani mtu uanzishe ugomvi eti kisa we mwanamke so mwanaume hawezi kukufanya chochote,UNA AKILI WEWE?!

Ingekuwa mwanamke hapaswi kushindana na mwanaume NECTA au chuo wangekuwa wanatunga mitihani tofauti,ya wanaume na ya wanawake
 
Last edited by a moderator:
ukweli Ruge asilaumiwe. Jd kama alizoea mbeleko sasa imekatika. Ruge anafanya biashara. Jide ajipange vyema
 
Tuachane na matusi ila ukweli nimejisikia vibaya sana kwa maneno aliyoongea alikuwa anatakiwa ajipange kuongea alikuwa anazungumza kama yupo kwenye kijiwe cha kahawa angeongea kwa hoja kila mtu asingemshambulia huwezi kuzungumzia suala la jide halafu unaanza kutoa mifano hai kwa watu wengine eti fulani alishafungiwa kwenye kituo flani mara fulani kalipwa kiasi fulani hayo yote yalikuwa hayahitajiki na ingekuwa nchi nyingine angekushtaki, nilikuwa nafikiri clouds wanaonewa wivu ila nimeamini kweli radio inaendeshwa kimajungu majungu halafu unakiri kweli ulikataza nyimbo zake zisipigwe wakati flani kweli? dah tunasafari ndefu mno
 
Ruge dhidi ya jide, sawa na tembo dhidi ya sungura. ruge yuko juu, hafai kuhangaika na jide, anapoteza muda wake na anazidi kujianika kuwa yeye ana akili za kidemu kushindana na mademu hata kwenye vitu ambavyo havina maana.
 
ushauri katika kuchangia hoja ni bora zaidi kuliko kutoa matusi,kejeli na dhihaka. Binadamu wote ni sawa na ndio maana hata huyo jd anamiliki mali kuliko hata hao wanaume wanaomponda kupitia jf. Kuambiana ukweli ndio msingi wa kujirekebisha na kusonga mbele kimafanikio...jamii ili isonge mbele na kupata maendeleo ni lazima kuwe na mikinzano.
 

Whats your point...???
 
Hata wewe ni walewale tu,umefulia kama Jide
ajabu yake ni kwamba, LORAINE na mkare_wenu NI MTU MMOJA, hawa wote ni ruge, ana id moja, sasa anahangaika kumshambulia jide kuwa amefulia, sasa kama atakuwa amefulia, wewe ruge mwenye hela nyingi inakuhusu nini, utashindanaje na kidudu mtu kama yule tena demu? JARIBU KUWA kama mwanaume basi, manake hapo utavalishwa sketi ukiendelea na hili bifu....
 

JIDE mbona una hasira hivyo?Au sikukuridhisha tuliposhare bed kule kwa Madiba?
 
JIDE mbona una hasira hivyo?Au sikukuridhisha tuliposhare bed kule kwa Madiba?
hahaha, wala usihangaike, mimi wala si jide, try to review all my comments utagundua mimi ni man, sio female. sikujua kuwa ulishawahi kushare naye hata bed, hiyo inaonyesha ulivyo na rushwa za ngono, namna unavyowatumia wanamuziki na watu walio chini yako, no wonder hata radio na tv yako wamejaa wasagaji na mashoga.

nakushauri, jaribu kuwa mwanaume, sit and think, acha kuhangaika na wanawake. nakwambia mbele za mungu, mimi sio jide, wala sio gadner, nawaona tu kwenye eatv kile kipindi chao, na nimefurahishwa na jide sana hasa ile safari yake ya mt.kilimanjaro. hata hivyo nikupe pole, hujaona mademu hata ukashare room na jide?...demu gani yule hana hata sura, pesa tu chache zimemsugua uso...lakini wewe bado tu unataka hata zile chache alizonazo ummalize,...hata hivyo sikujua kama mlikuwa na ugomvi wa kimapenzi.....samahani, basi ngoja sisi wapita njia tujiweke kando, kumba mnajuana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…