Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
Anaijuwa hiyo Thai village? maana hakuna route ya daradara kule ati.
Ah hah hah hah haaah JF ni balaa.
Usiku kucha mchana kutwa JF haichoshi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaijuwa hiyo Thai village? maana hakuna route ya daradara kule ati.
Yaani unataka tumsikilize mfu ndani ya redio ya wafu
Yaani Jide bana kachemka kweli. Ruge kaongea yyote. Akasema ziko radio station zaidi 100,azitumie hata hizo.Na Ruge kasema hakuwahi kuona mantiki ya kujibizana msg na Jide ingawa Jide alikuwa akimtumia sana sms,yeye anampigia. Amekuwa akimuuliza tatizo lililopo ili walimalize,Jide anapotezea. Kwa Cluods kama taasisi inayojitegemea kujiendesha Kwa Kutegemea matangazo,akaona atoe ufafanuzi wa machache aliyoelewa vinginevyo amempa nafasi ya kujirudi ili walimalize. Namwonea huruma Jide,aidha hana ushauri au hajui ti tu kwamba approach anayoitumia inatarnish legacy yake
nyie wote ni walewale tu. akili zenu sawa tu na za Ruge.
Hata wewe ni walewale tu,umefulia kama Jide
ushauri katika kuchangia hoja ni bora zaidi kuliko kutoa matusi,kejeli na dhihaka. Binadamu wote ni sawa na ndio maana hata huyo jd anamiliki mali kuliko hata hao wanaume wanaomponda kupitia jf. Kuambiana ukweli ndio msingi wa kujirekebisha na kusonga mbele kimafanikio...jamii ili isonge mbele na kupata maendeleo ni lazima kuwe na mikinzano.
ajabu yake ni kwamba, LORAINE na mkare_wenu NI MTU MMOJA, hawa wote ni ruge, ana id moja, sasa anahangaika kumshambulia jide kuwa amefulia, sasa kama atakuwa amefulia, wewe ruge mwenye hela nyingi inakuhusu nini, utashindanaje na kidudu mtu kama yule tena demu? JARIBU KUWA kama mwanaume basi, manake hapo utavalishwa sketi ukiendelea na hili bifu....Hata wewe ni walewale tu,umefulia kama Jide
ajabu yake ni kwamba, LORAINE na mkare_wenu NI MTU MMOJA, hawa wote ni ruge, ana id moja, sasa anahangaika kumshambulia jide kuwa amefulia, sasa kama atakuwa amefulia, wewe ruge mwenye hela nyingi inakuhusu nini, utashindanaje na kidudu mtu kama yule tena demu? JARIBU KUWA kama mwanaume basi, manake hapo utavalishwa sketi ukiendelea na hili bifu....
hahaha, wala usihangaike, mimi wala si jide, try to review all my comments utagundua mimi ni man, sio female. sikujua kuwa ulishawahi kushare naye hata bed, hiyo inaonyesha ulivyo na rushwa za ngono, namna unavyowatumia wanamuziki na watu walio chini yako, no wonder hata radio na tv yako wamejaa wasagaji na mashoga.JIDE mbona una hasira hivyo?Au sikukuridhisha tuliposhare bed kule kwa Madiba?
Si kweli.:help::help::help::help::help::help::help: