Anadai jd amekwisha kimziki na ni lazima akubali kuachia game, anatumia neno kupokezana kijiti na anasema wakati umefika kwa jd kukabidhi kijiti kwa mwingine.
Anamalizia kwa kusema kua maneno ya kwenye mitandao yashughulikiwe haraka sana na vyombo vya usalama.
Analaumu kwa nini jide hajakamatwa kwa kuandika matusi kwenye mtandao.
anasema skylite band inamsumbua Jide.... hiyo band ni ya Sebastian Ndege ambaye ni mshikaji wao kama ilivyo Gardner na Jide....Jide anatakiwa sio kutukana bali apeleke mashambulizi kwenye ushindani.... duh!