figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
huyo shoga ataongea nini
wameamua kupiga nyimbo za dini wameanza na rose muhando. wamesema leo bongo fleva no. hahahaaa...!!!. mia
msimamo wa kampuni leo bongo fleva hazipigwi. mia
hivi si kwamba alikuwa anatoa mfano kwamba wanaweza kuamua kwamba wasipige Bongo flava