Ruge mutahaba ajibu mashambulizi dhidi ya tuhuma za lady jaydee

Ruge mutahaba ajibu mashambulizi dhidi ya tuhuma za lady jaydee

wameamua kupiga nyimbo za dini wameanza na rose muhando. wamesema leo bongo fleva no. hahahaaa...!!!. mia
 
anasema wako tayari kufanya kazi na Jide kati ya Radio 82 zilizopo Tz ila Jide anajua cha kufanya... that means akaombe radhi.... mie nawashauri wakae chini waweke mambo sawa wao wenyewe maana wote ni watanzania
 
Dada Jd hopefully umemsikia mtuhumiwa kajieleza kwa ureeefu sana na kajitetea nda amesema msimamo wako kaa utafakari ujue cha kufanya bt wao wapo tayari kuendelea na ww. Pb Wamemaliza na hakuna Mungu kama wewe na leo siku nzima hawatapiga bongo flavor. Nukta
 
Kipindi kinaisha song la Hakuna Mungu kama wewe! Baada ya Ruge kusema leo siku zima hamna kupiga Bongo fleva na kusisitiza sana coz ni radio binafs hakuna anayewapangia maamuzi!!
 
ni hakuna Mungu kama wewe au ni akuna bosi kama ruge daaah clouds nao.
 
Hatimaye anamalizia kwa msistizo kua LEO HAKUNA BONGO FLEVA,

msimamo wa ruge ni kua yuko tayari kwa mazungumzo

Hapa mwisho, mwisho kabisa kisha kibao cha Hakuna Mungu kama wewe kimepandishwa hewani

Kutoka hapa jf jukwaa la celebrits, pamoja nami Skype na wadau wengine tunasema hatuna la ziada, tunakurudisha makao makuu ya jf hadi wakati mwingine.
Adios.
 
kusema ule ukweli Ruge ana akili ametumia trick tamu sana kulizungumzia hili suala hadi nimependa....HAKUNA KUPIGA BONGO FLAVA LEO
 
Kama ambavyo ameamuru wasipige bongo fleva ndvyo alivyoamuru nymbo za jide na wengne zcpgwe pia
 
mtihan utunge wewe afu mtahiniwa ni wewe lin utashindwa.....jide kajipange upya kama vip jib mapigo kwa radio yako.
 
Hahahaha RUGE kajipanga kweli,kaamua kumuonyesha JIDE anaweza kufanya chochote anachojisikia si REDIO BINAFSI bwana,leo ni mwendo wa GOSPO kwenda mbele,no BONGOFLEVA
 
hii ni kusema wao wanaweza na wasanii pia wanaweza sema mziki wangu usipigwe clouds.
 
hivi si kwamba alikuwa anatoa mfano kwamba wanaweza kuamua kwamba wasipige Bongo flava

Dada, nikuweke sawa tu kua wakati anaaga amerudia kusistiza kua leo hakuna bongo fleva siku nzima.
 
Back
Top Bottom