Ruge mutahaba ajibu mashambulizi dhidi ya tuhuma za lady jaydee

Hahahaha RUGE kajipanga kweli,kaamua kumuonyesha JIDE anaweza kufanya chochote anachojisikia si REDIO BINAFSI bwana,leo ni mwendo wa GOSPO kwenda mbele,no BONGOFLEVA

Mi nimemaliza kumsikiliza bosi ruge nikanza kucheka tu.
 
Chezea wafu fm....na wameanza na kaji nyimbo ka skylyt..leo tena....hahhhah hawa jamaa noma
 
Haaa! Namna gani hapa studio? Nasikia wimbo wa kalolina hapa au siyo bongo fleva?
Wadau wenye kujua aina za muziki hebu nipeni ufafanuzi wa aina ya wimbo wa kalolina.
 
wameamua kupiga nyimbo za dini wameanza na rose muhando. wamesema leo bongo fleva no. hahahaaa...!!!. mia



wakati mwingine tutaacha kuwaamini watu wa aina yako
unaweza leta breaking newz tukaona kama ni fix au uongo
why nasema hivi wameanza na nyimbo ya hakuna Mungu kama wewe by kijitonyama choir mwimbaji ni Chidumule
sasa cjui radio yangu analog au znatofautiana!
Kuwa makin jembe! Sory ka nimekuboa lkn nikunyooshana/kuwekana ktk mstari!!
 
Ametumia Radio yao kumshambulia Lady JD kumshambulia bila kujibu hoja! these to me is non sense!

Kama JD alivyotumia blog yake kuwashambulia Clouds bila kusema tatizo ni nini?!
 

Msamehe bure
 
ameomgea kwa kutulia na with a lot of confidence and experience,kwa hoja.Kwa hili nimemuelewa sana Ruge. Jide anaogopa failures anaona giza mbele hajui afanye nini kwa uelewa wangu
 
Leo clouds ni mwendo wa nyimbo za vijembe tu kwenda kwa jide. Duu! Ama kweli bosi ruge aka mzee wa nokia ya lumia kaamua
 
Mi nimemaliza kumsikiliza bosi ruge nikanza kucheka tu.

Jamaa ni 'muhuni wa mjini' kweli ndo maana ile biashara kaimudu kwa mda mrefu na kwa mafanikio pamoja na challenges kibao anazokumbana nazo
 

hata sijui nani kaimba. nikajua rose muhando. mwenzio nasikiliza kaswida. mia
 
Jamaa ni 'muhuni wa mjini' kweli ndo maana ile biashara kaimudu kwa mda mrefu na kwa mafanikii pamoja na challenges kibao anazokumbana nazo

Kumbe ni muhuni wa mjini!! Ndo maana nilipata taabu kumwelewa
 

asante sana nimependa ubunifu wako
 

na kutoka makao makuu ya nchi mawasiliano yanapokutana
gody fundi mitambo, mhariri na mfuatiliaji mazungumzo na kicm cha toch kuangalia nani anasema uongo!
Sina la ziada na logout!!
 
Last edited by a moderator:
Reactions: amu
na kutoka makao makuu ya nchi mawasiliano yanapokutana
gody fundi mitambo, mhariri na mfuatiliaji mazungumzo na kicm cha toch kuangalia nani anasema uongo!
Sina la ziada na logout!!

Hahaaa fundi mitambo sikujua kua wewe ndo ulikua unawezesha mawasiliano, asante sana.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…