Ruge Mutahaba anaumwa nini?

simjui ruge ni nani lakn humu ndani kuna watu wana akili chafu sna wao kila kitu wanafurahia hata mtu akiwa na matatizo wanafurahi. hivi nyinyi mnaofurahia matatizo ya watu ni binadamu kweli au ni viumbe wa aina gani? bahati yenu sio admin ningekuwa nawapiga block wote wenye tabia za hivi kufanya utani kwenye matatizo
 
Sasa mkuuu iyo ndo freedom unayo itaka?
 
Unaweza kufunguka zaidi ukihusianisha na mada ya mezani ?
Ishu ya yule mzazi mwenzake kumbwaga ghafla na kuolewa na mtu mwingine ilimmaliza kabisa... Ile clip aliyokuwa akilia unaweza kuhisi uchungu alipokuwa nao moyoni
Na kwa bahati mbaya sana hakufanikiwa kupata comfort ya kutosha na 90% ya jamii ikamrudi.. Katika hali hiyo hata kama angeugua mafuta yangemuumiza pakubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…