Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
simjui ruge ni nani lakn humu ndani kuna watu wana akili chafu sna wao kila kitu wanafurahia hata mtu akiwa na matatizo wanafurahi. hivi nyinyi mnaofurahia matatizo ya watu ni binadamu kweli au ni viumbe wa aina gani? bahati yenu sio admin ningekuwa nawapiga block wote wenye tabia za hivi kufanya utani kwenye matatizo
Freedom of speech haiko na maana kwa watu wa hivi. mtu unafurahia vipi matatizo ya binadamu mwenzio 🙄Sasa mkuuu iyo ndo freedom unayo itaka?
Mapenzi ugonjwa mbaya kuliko cancer na ukimwiNimepita mahali nikamuona huyu jamaa kama vile amedhoofika sana kiafya.
Anasumbuliwa na nin?
Unaweza kufunguka zaidi ukihusianisha na mada ya mezani ?Mapenzi ugonjwa mbaya kuliko cancer na ukimwi
Ishu ya yule mzazi mwenzake kumbwaga ghafla na kuolewa na mtu mwingine ilimmaliza kabisa... Ile clip aliyokuwa akilia unaweza kuhisi uchungu alipokuwa nao moyoniUnaweza kufunguka zaidi ukihusianisha na mada ya mezani ?