Ruge Mutahaba anaumwa nini?

Ruge Mutahaba anaumwa nini?

Maisha ni mzunguko ambao kila mmoja anaupitia....

Analopitia mwenzako hata wewe siku moja linaweza kukufika....kwa kuwa sote tupo kwenye njia hiyo

Hakuna mwenye kinga ya matatizo duniani bali kuna watu wanaojisahau pindi wanapopitia vipindi vitamu maishani!!!

Fedheha na kejeli kwa mwenzako anayepambana vita yake havifai kwani huko ni kujisahau...

HUWEZI KUJUA KUWA DUNIA INA MAMBO MPAKA LIKUKUTE JAMBO!!!!
 
Ishu ya yule mzazi mwenzake kumbwaga ghafla na kuolewa na mtu mwingine ilimmaliza kabisa... Ile clip aliyokuwa akilia unaweza kuhisi uchungu alipokuwa nao moyoni
Na kwa bahati mbaya sana hakufanikiwa kupata comfort ya kutosha na 90% ya jamii ikamrudi.. Katika hali hiyo hata kama angeugua mafuta yangemuumiza pakubwa

Ni kweli kabisa umenena, wachache sana watakaokuelewa... Mapenzi huua taratibu ila kwa hakika, wale wanaoishia kuua wenza au kujiua hii kadhia wanaielewa vyema
 
Ishu ya yule mzazi mwenzake kumbwaga ghafla na kuolewa na mtu mwingine ilimmaliza kabisa... Ile clip aliyokuwa akilia unaweza kuhisi uchungu alipokuwa nao moyoni
Na kwa bahati mbaya sana hakufanikiwa kupata comfort ya kutosha na 90% ya jamii ikamrudi.. Katika hali hiyo hata kama angeugua mafuta yangemuumiza pakubwa
Kumbe pesa peke yake haziwezi kumfanya mtu awe na furaha.
 
Watanzania wengi tu Wanafiki sana, ni Watu tunaishi kwa sura mbili, mbele ya Mtu na nyuma ya mgongo wake.

Mtu akiwa na matatizo tunashabikia mitandaoni ili hali najua kabisa ni nyie nyie mkiwa macho kwa macho mtatoa na machozi kujifanya mnamuhurumia.

Juzi mlikuwa mnamkebehi Ally Choki, siku kadhaa baadae nikakuta Watu wanashangilia kilichokuwa kinasemekana kuwa ni kijana mdogo amemtukana Baba yake Mzazi mtandaoni.

Hivi ukiwakusanya hao woote waliokuwa wanashangilia matusi ya Mtoto yule na uwaulize kama wanaweza kupita njiani wakamkuta Mtoto anamtukana Mtu mzima achilia mbali kama huyo Mtu mzima ni Mzazi wake ama la, je watasimama pembemi na kushangilia au wangemuadhibu Mtoto yule?

Nina uhakika Watu 9 kati ya 10, kama sio wote watakwambia tutamfunza adabu Mtoto yule...sasa mbona mitandaoni/nyuma ya mgongo tupo tofauti?

Na ndio maana hata wakati ule mlimchuuza yule Dada yenu kuhusu maandamano lakini ilipokuja kwenye siku ya vitendo mikia ikaingizwa makalioni kama Mbwa koko.

......WANAFIKI.....
 
NI KWELI MKUU UTASEMAYO,HUYU JAMAA AMEDHOOFU MNO.AMEPOTEZA NURU KABISA.
Kama haumwi basi itakuwa ni laana za wasanii aliowahi kuwanyonya au kuwakandamiza
Well said walahi
 
Mpende adui yako kama nafsi yako! Usiusemee ugonjwa wa mtu. Safari yetu ni moja. Leo kwangu kesho kwako.
Aaaa wapi!
Adui zangu wote wafe wao na kizazi chao milele yote walahi!
Believe me nilifanya hiyo mistake ya kuwapenda na kuwaombea, nilicho ambulia ikawa mbaya zaidi, sasa wafe tu na vizazi vyao milele yote walahi!
That’s all
 
Nimepita mahali nikamuona huyu jamaa kama vile amedhoofika sana kiafya.
Anasumbuliwa na nin?
Presha za mikopo mikubwa bank kaka usiombe kuwa meneja wa kampuni kubwa watu zaidi ya 100 wanakutegemea ww uapate faida uwalipe mishahara kwa wakati sio mchezo kabisa sasa utashangaa wananenepa ni wafanyakazi wake ila yy kila kukicha anazidi kuisha kingine ina weza kuwa ni ugonjwa wa kisukali, au ukimwi kwani yule jamaa naskia ni mtu wa totoz sana.
 
Aaaa wapi!
Adui zangu wote wafe wao na kizazi chao milele yote walahi!
Believe me nilifanya hiyo mistake ya kuwapenda na kuwaombea, nilicho ambulia ikawa mbaya zaidi, sasa wafe tu na vizazi vyao milele yote walahi!
That’s all
Safi sana mkuu adui mwembee njaa na afie mbali yy na ndugu zake ili ubaki unaishi kwa amani.
 
Presha za mikopo mikubwa bank kaka usiombe kuwa meneja wa kampuni kubwa watu zaidi ya 100 wanakutegemea ww uapate faida uwalipe mishahara kwa wakati sio mchezo kabisa sasa utashangaa wananenepa ni wafanyakazi wake ila yy kila kukicha anazidi kuisha kingine ina weza kuwa ni ugonjwa wa kisukali, au ukimwi kwani yule jamaa naskia ni mtu wa totoz sana.
Mola niepushe na mikopo ya bank walahi!
 
Maisha ni mzunguko ambao kila mmoja anaupitia....

Analopitia mwenzako hata wewe siku moja linaweza kukufika....kwa kuwa sote tupo kwenye njia hiyo

Hakuna mwenye kinga ya matatizo duniani bali kuna watu wanaojisahau pindi wanapopitia vipindi vitamu maishani!!!

Fedheha na kejeli kwa mwenzako anayepambana vita yake havifai kwani huko ni kujisahau...

HUWEZI KUJUA KUWA DUNIA INA MAMBO MPAKA LIKUKUTE JAMBO!!!!
As usual mkuu[emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Kwa nini kuleta mzaha kwenye ugonjwa wa mtu.
Nadhani ilikuwa busara kumpa pole na kumwombea uponyaji
Tusijisahau sana sote ni binadamu Leo kwake kesho kwako
Tuwe waungwana wajameni
Hajaleta mzaha ameuliz tu kama una jibu mjibu afaham
 
Back
Top Bottom