KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Maisha ni mzunguko ambao kila mmoja anaupitia....
Analopitia mwenzako hata wewe siku moja linaweza kukufika....kwa kuwa sote tupo kwenye njia hiyo
Hakuna mwenye kinga ya matatizo duniani bali kuna watu wanaojisahau pindi wanapopitia vipindi vitamu maishani!!!
Fedheha na kejeli kwa mwenzako anayepambana vita yake havifai kwani huko ni kujisahau...
HUWEZI KUJUA KUWA DUNIA INA MAMBO MPAKA LIKUKUTE JAMBO!!!!