Ruge Mutahaba, Efrahim Kibonde, Gardner G. Team Kataa ndoa tuna la kujifunza kwenu, tutawaenzi daima

Sample ulizotumia sio. Ila swali lako bado lipo ila linahitaji utafiti.

Ni kweli usipokuwa na mke unaishi maisha mafupi?

Binafsi sioni uhusiano wa moja kwa moja ila nachojua above 55, kataa ndoa wengi uzalendo huwa unawashinda wanaoa.
 
kwa hiyo ukiwa na ndna unatoboa 50!, basi kama ni hivyo fasta tunaoa ili tuvuke hiyo miaka
 
ulivyo flow tu umenifurahisha sana, thanks
 
Ukiwa kilaza huwrzi kuelewa moral of tbe stoty.mke wa kibonde alishakufa mwaka mkoja kabla,chs kujifunza ni kuwa ukiwa bachelot utakufa mapema
100% true! Maana unakua una uhuru kupitiliza so kama ni ME ndo uta loose selfcontrol(starehe) mwisho wa siku majanga..
Ndoa pamoja na mapungufu yake ila inakurekebisha kitabia kwa njia moja au nyingine
 
uzurii wa singles hata ukifaa nduguu ndioo wanajiliwaza na malizako sio uko kaburini unawaza kha pdidy anansaidiaa nn mkewangu mda huu sikia kwa mwenzioo
kuna wanawake ni washenzi sana, kaburi bado bichi mme wake hajaoza tayari mke anapelekewa moto bila aibu. Walau asubiri mwaka mmoja ndo aanze kupekechwa, manina zao wanaudhi sana
 
Si wamesema Wameachana 2015
Wale walianza zinguana miaka ya 2007 huko, kipindi hicho Jay De ana Machozi Band! Walitengana mwaka 2010 na baada ya hapo Jay De akaanza kutunga nyimbo za kebehi kwa ajiri ya Gardiner.... Kumbuka hata wanaume kama mabinti ni wimbo aliimbiwa Gardiner na kipindi hicho wote walikua pamoja!

Baada yakuachana sasa, ngoma zikaanza The ndindi,Mambo matano,Yahya! Na nyingine nyingi!
 
...anakuonaaaaaa aunamwagaaa sirikamazoteee dhh marehemu yAlimkytaaa alijua kuvumilia wallah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…