Ruge Mutahaba, Efrahim Kibonde, Gardner G. Team Kataa ndoa tuna la kujifunza kwenu, tutawaenzi daima

Ruge Mutahaba, Efrahim Kibonde, Gardner G. Team Kataa ndoa tuna la kujifunza kwenu, tutawaenzi daima

Wale walianza zinguana miaka ya 2007 huko, kipindi hicho Jay De ana Machozi Band! Walitengana mwaka 2010 na baada ya hapo Jay De akaanza kutunga nyimbo za kebehi kwa ajiri ya Gardiner.... Kumbuka hata wanaume kama mabinti ni wimbo aliimbiwa Gardiner na kipindi hicho wote walikua pamoja!

Baada yakuachana sasa, ngoma zikaanza The ndindi,Mambo matano,Yahya! Na nyingine nyingi!
Kumbe eeh bas nilijua ni mwaka 2015
 
sasa kama gadner ana mama kareen kwa nini alihangaika na jide mpaka akaangukia pua kwenye mahusiano ya kindoa na kuishia kwenye mastress?
 
TUANZE NA MIAKA YAO TUJUE UMUHIMU WA NDOA
RUGE KAFA NA MIAKA ....
GARDNER...
EEKIBONDE......
A.CHIFUPA....
DJ NANIII.......

DUH AISEEEE CLOUDS WAMEUMIZWA SANAA JAMAN MPAKA WENGINE WANASEMA ATUJUI HATA ANAEFWATA HUMU NDAN UWIII..
51 the highest,maisha mafupi sana
 
Nimetoa sample ndogo ya hawa kaka zetu ili sisi team kataa ndoa tupate kujifunza.

Kwa umaarufu wao wasingekosa hela ya kulipia bill hospitali, kwa umaarufu wao wasingekosa watu wa kuwapunguzia damu endapo ingehitajika, kwa umaarufu wao wasingekosa mtu wa kuwaletea uji hospitali, hata wangetaka mtu wa kuwapa figo wangepata.

Ruge alionekana kuwa happy na maisha yake japo kuna tetesi alikuwa anamchumbia Nandy.
Kibonde alikuwa ametoka kufiwa na mke wake mwaka mmoja ulliopita.
Gardna yeye amekuwa bachelor kwa miaka zaidi ya kumi.

Funzo tulilopata,hawa jamaa waliishi maisha yao na furaha usoni ilionekana, hawakutaka kuoa kufurahisha mtu.

Hawakuendekeza ndoa ila walihakikisha wamezaa watoto ili kuendeleza uzao.

Sio lazima kuishi miaka mingi 50 tu inatosha, kikubwa timiza kilichokuleta duniani, hao mabroo hakuna aliyevuka 51.

Bila ndoa hutoboi 50
na wote wamekufa na ngoma

thats not a very good list bro

tupunguze unafiki
 
Kwamba hao jamaa walikuwa kataa ndoa? Mbona ni kama vile wote walioa na kuishi na wake zao.

Team kataa ndoa ni porojo tu, wengi hawawezi luwa single hata mwezi mmoja.
Gadna ndoa mbili zilimshinda,Ruge ndio boss wa team kataa ndoa,kibonde alifiwa ba mke hakutoboa mwaka,cha kujifunza ni kuwa ndoa ni muhimu sana
 
TUANZE NA MIAKA YAO TUJUE UMUHIMU WA NDOA
RUGE KAFA NA MIAKA ....
GARDNER...
EEKIBONDE......
A.CHIFUPA....
DJ NANIII.......

DUH AISEEEE CLOUDS WAMEUMIZWA SANAA JAMAN MPAKA WENGINE WANASEMA ATUJUI HATA ANAEFWATA HUMU NDAN UWIII.. wanasambaziana Ngoma tu
 
Mnapendaga kujustify ujinga. Wote hao hawakuwa kataa ndoa; na katika wote hao hakuna mtu ambaye alii-honor ndoa yake kama Kibonde. Kibonde ambaye baada ya mkewe kufariki alishindwa kukaa kwenye nyumba yake mwenyewe; akawabeba na watoto wake wakahamia kwa wazazi wake sijui. Unaweza ukaimagine kuondoka kwa mkewe kulikuwa na effects gani kwake. Hata wengine walitabiri kuwa Kibonde hataishi muda mrefu kwa sababu alikuwa na very strong bond na marehemu mkewe; na kweli hakukaa sana, likatokea la kutokea. Wewe kataa tu ndoa kwa sababu zako binafsi
hii haitoi fact yeye na mkewe wote walikufa kwa ngoma

regardless unawapamba kupita maelezo....
 
sasa kama gadner ana mama kareen kwa nini alihangaika na jide mpaka akaangukia pua kwenye mahusiano ya kindoa na kuishia kwenye mastress?
Tatizo la Gardner nikupenda sana kitonga!

Mama Caren alikua na biashara zake nzuri tu za maduka ya nguo Mwanza,lakini baada ya yule Mother kushuka,Jamaa akampiga chini, akaenda kwa Jay Dee,na ndiyo huko kakutana na stress za maisha hadi akawa mlevi wakupindukia!
Nina kaka yangu, ni rafiki yake sana na Gardiner tumekaa sana na jamaa (G) Garder pale Tripple Seven Dsm,jamaa kwenye bills hakuwa na ushirikiano sana!
 
Back
Top Bottom